Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

JULIANA SHONZA...FACEBOOK PAGE
Katibu mkuu ndg Peter Slaa amekuwa akinizuia kutekeleza majukumu yangu yakiongozi huku akinitisha kwa simu ya mkononi kwa kunipigia na kunitumia mesejiili nikate tamaa na kuwavunja moyo walionichagua na kisha nisusie chama kamaambavyo mh. Arfi alitaka kufanya jana mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa naviongozi wakuu ndani ya chama kama silaha ya kudhoofisha watu ambao wanahisiwanakinzana nao kimtazamo.
Ushahidi wa meseji ujumbe mfupi wa maandishi ninao ,nanipo radhi kuupelekambele ya chama itakapo bidi.
moja ya mambo aliyoniambia dr.slaa ni kwamba
"huta kaa ukashiriki kazi yoyote ya chama,hadi pale mbowe atakapo ondokamadarakani"
wanajf hii meseji ni kutoka kwa dr.slaa kuja kwangu makamu wa baviha taifa.
Mfano mwezi wa nane mwaka huu nilijitolea kwenda kujenga chama Mbeya kwarasilimali zangu lakini cha kushangaza Slaa alinitumia meseji yavitisho(ninayo)akidai nimeenda kufanya m4c ambayo anadai eti yeye ndiye mwenyemamlaka nayo,yaani ndiye mwenye kupanga nani afanye na nani asifanye,


asee...!!
 
Back
Top Bottom