Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

Ni muhuimu pia CHEDEMA watowe tamko kuhusu vijana wao hawa ambao ni hatari kwa taifa. Unajua mtu mjinga ni hatari sana kwa kuwa hajui yeye kama ni mjinga anaweza kufanya chochote akiamini yeye ni mtu bora kuliko wengine kwa kuwa tu anaweza kuongea kwenye majukwaa na watu kumshangilia.

Ni muhimu sana CHADEMA kuweka wazi haya ambayo yameandikwa na akina Juliana, na kina Ben humu.
 
aliyemkana mungu na kuacha kumhubir leo anaitwa chaguo la mungu!aliemtelekeza mke aliyepewa na mungu leo ni chaguo la mungu!aliyekua kinara wa migogoro na maaskofu leo ni chaguo la mungub! mtu anaelipwa mshahara mkubwa tofauti na rank za chama chake leo ni chaguo la mungu!dr alipoteza baraka za urais alipoanza kukiwekea chama chake mashart ya kugombea.amen
 
M23/PM @Work mnanunaje sasa, ila poleni masalia CDM haikufi mtabadili ID na mtapambana wenyewe kwa wenyewe
We bibi acha izo kila anaempinga hawara yako ni masalia acha kuweweseka leeni mjukuu huyo
 
Ameshaanza uongo tulipumzika kidogo kusikiliza pumba zake.

Unajua watu wa aina yako Mingoi mpaka kuna wakati nawahurumia,kwani mnatumia nguvu nyingi
kummaliza Dr.Slaa lakini ni vema muwe mnafanya utafiti je mnafanikiwa? kwani imani ya
watanzania kwa Dr. Slaa ni kubwa mno ni sawa na kushindana na upepo ili usivume"
 
aliyemkana mungu na kuacha kumhubir leo anaitwa chaguo la mungu!aliemtelekeza mke aliyepewa na mungu leo ni chaguo la mungu!aliyekua kinara wa migogoro na maaskofu leo ni chaguo la mungub! mtu anaelipwa mshahara mkubwa tofauti na rank za chama chake leo ni chaguo la mungu!dr alipoteza baraka za urais alipoanza kukiwekea chama chake mashart ya kugombea.amen
naona unakimbiza kivuli chako mwenyewe
 
dr slaa ndo huyoooooo anaukosha moyo wangu najua hapa siku yangu njema kumuona huyu mtu........ thatha mungoi tuntemeke field marshal..... mchange tunawajua
 
Na ndo raisi ajaye 4their info!
Nimemsilikiza Dr Slaa....
Niliamua kuchelewa kazini ili niweze kuupata muelekeo wa huyu mtu....
Kwa sasa Tanzania hakuna kiongozi mwenye kuja mambo ya uongozi kama huyu, mawenye upeo mkubwa kama huyu, na anae wajua watanzania na anajua hasa wanatakiwa wafanayiwqe nini kwa sasa!!

Kinana hamfikii hata kwa njiti ya kibiriti, Mkapa kamwacha maili elfu, JK ni "maiti" dhidi Dr Slaa!!
 
Picha ninayoipata ni kama waasi wameuzunguka mjini mkuu lakini Babu anatangaza kuishikilia nchi.Ni bora angatuke jahazi liendelee asisubiri kudhalilika.
 
leo naona mmeingia kazini mapema saaana au nape kawapa laptop mfanyie kazi nyumbani..... may mmeanzisha night shift.
 
yaah anafikiri Dr. is much good enough kwa sababu anajua shida na matatizo yanayowakabili wananchi wa tanzania hii
 
acha upuuuzi wewe utakoma na hivi tumeshawajua hamtuletei shida....... jana nililala usingizi mzuri baaada ya kujua upuuuzi wenu
 
Back
Top Bottom