Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

Wakati huohuo NDUGU SLAA alishanipigia simu nakunitamkia kwamba sitakaa nishirikishughuri yoyote ya ujenzi wa chama kwani eti mimi ni mfuasi wa Zito ZuberiKabwe,na hiyo ni baada ya mimi kumuuliza kwa nini mimi sipangwi kwenye shughuriza ujenzi wa chama,na katika kipindi hicho m4c ilikuwa imeelekea Lindi naMtwara huku washiriki toka Bavicha wakiwa ni walewale Munishi naHeche,nalijibia hili kwasababu nimekuwa nikiulizwa na viongoz na wanachama kwanini sionekani kwenye ujenzi wa chama.
Hakuishia hapo slaa amekuwa akinifitinisha na viongozi wangu wa wilaya ya mbozi,wilaya niliyotumia nguvu yangu na uwezo wangu mkubwa kukujenga chamakwakupitia mwenyekiti wa wilaya bwana john mwambigija .

Mfano ni hivi majuzi wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani kama kawaidasikupangwa kwenye kata yeyote huku viongozi wenzangu wakipangiwa ndiponilipoenda wilaya ya mbozi kata ya muyovizi lakini katika hali yakushangazamwenyekiti huyo wa wilaya alikataa kunisimamisha kuhutubia kwa madai ya kwambaameambiwa na dr.slaa mm simuungi mkono ndani ya hama hivyo asinisimamishekuhutubia.

Katika mazingira ya kawaida ni wazi kuna mazingira yakubaguliwa labda kutokanana ukanda na ukabila ambayo kwa hali ilivyo sasa haifichiki.Dr slaa ndiyeinjinia wa mipasuko ndani ya chama kitu ambacho kimelenga kubomoa nakudhoofisha jitihada zangu,dhamira yangu safi ,na utumishi uliotukuka kwa chamachangu
 
Ameshindwa kuongoza apishe wengine.

Ampishe Naibu Katibu Mkuu Mh.Zitto ambaye yupo anaunda makundi ya kuchafuana ndani ya Chama huyu ndo ataweza? Kama Zitto kashindwa tu ku control kundi la watu
7 PM 7 au Masalia matokeo yake wamekuja hapa na kuvuana nguo hadharani ataweza kweli kuongoza CDM achilia mbali ndoto yake ya kuwa amiri jeshi mkuu?
 
Waasi uchiii..nataman muitshe hayo maandamano yenu muone responc ya wana wa nchi..
 
JULIANA SHONZA FACEBOOK PAGE....Wakati huohuo SLAA alishanipigia simu nakunitamkia kwamba sitakaa nishirikishughuri yoyote ya ujenzi wa chama kwani eti mimi ni mfuasi wa Zito ZuberiKabwe,na hiyo ni baada ya mimi kumuuliza kwa nini mimi sipangwi kwenye shughuriza ujenzi wa chama,na katika kipindi hicho m4c ilikuwa imeelekea Lindi naMtwara huku washiriki toka Bavicha wakiwa ni walewale Munishi naHeche,nalijibia hili kwasababu nimekuwa nikiulizwa na viongoz na wanachama kwanini sionekani kwenye ujenzi wa chama.
Hakuishia hapo slaa amekuwa akinifitinisha na viongozi wangu wa wilaya ya mbozi,wilaya niliyotumia nguvu yangu na uwezo wangu mkubwa kukujenga chamakwakupitia mwenyekiti wa wilaya bwana john mwambigija .

Mfano ni hivi majuzi wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani kama kawaidasikupangwa kwenye kata yeyote huku viongozi wenzangu wakipangiwa ndiponilipoenda wilaya ya mbozi kata ya muyovizi lakini katika hali yakushangazamwenyekiti huyo wa wilaya alikataa kunisimamisha kuhutubia kwa madai ya kwambaameambiwa na dr.slaa mm simuungi mkono ndani ya hama hivyo asinisimamishekuhutubia.

Katika mazingira ya kawaida ni wazi kuna mazingira yakubaguliwa labda kutokanana ukanda na ukabila ambayo kwa hali ilivyo sasa haifichiki.Dr slaa ndiyeinjinia wa mipasuko ndani ya chama kitu ambacho kimelenga kubomoa nakudhoofisha jitihada zangu,dhamira yangu safi ,na utumishi uliotukuka kwa chamachangu
 
Omuntu
Hongera kwa kujiunga Jf. Naona uko na nia ya kumpaka matope kiongozi wetu.
 
Wewe ndo umechoka!!
 
Taswiraaaaa, kijana una khasira na Rais ajae eeenh. Utaumia sana ila ndo chaguo la Mungu.

Sidhani! Embu kwanza wazime hizo mambo za kukihujumu chama na kutupiana maneno yasiyo na msingi wa kimapinduzi zaidi ya chuki
 
Hakuna kama dr slaa lema kashinda sasa tunahamia upande wa mavuvuzela wa chadema na mwisho wao ni huu hapa
 
Kama una dhamira ya kweli kuikomboa jamii ya watanzania wenzako hupaswi kukatishwa tamaa na mtu mmoja ndani ya chama kwani hata yeye (Dr. Slaa) akiboronga akaenda tofauti na mwongozo wa CDM naye ataenguliwa tu!
 
Ndo kilichobaki sasa, na atafafanua sana, ila wananchi wameshajua mbivu na mbichi ndani ya CDM.

acha kushabikia magamba kimazoea, badilika! Yaani kama baba yako alikuwa thithiem ni lazima na ww uwe humo?! Na angekuwa s...a je.....
 
Wewe ndo umechoka!!
Tell Him That...WATANZANIA Wanaakili kuliko Mafisadi, Najuwa Mtatumiwa sana ili waendelee kushika nchi, lakini Njaa, Magonjwa, Kukosa Makazi na Hali Duni ya Kiuchumi kwa watanzania walio wengi ni somo tosha kuwa sasa siyo muda tena wa mafisadi na vibarako wao. CHADEMA TUMEJIZATITI KWA HILO, In God We Trust! Peoples Power.
 
Juliana Shonza asivyo jua kufikiri anashindwa hata kuhoji tikiti lake kwa nini alikuwa apangwi kwenye shughuli za chama! Hivi ana tegemeana nini kama watu wamesha kujua wewe ni msaliti wa chama alaf wakupange ili hiweje?

Msaliti hawezi kupangwa kwenye shughuli za chama hasa huyu alivyo mtupu kichwani!

Last edited by a moderator:
Kama una dhamira ya kweli kuikomboa jamii ya watanzania wenzako hupaswi kukatishwa tamaa na mtu mmoja ndani ya chama kwani hata yeye (Dr. Slaa) akiboronga akaenda tofauti na mwongozo wa CDM naye ataenguliwa tu!

Mtu kama huyu ni vema ukakaa naye mbali sana kwani ipo siku akasema Dr. alikuwa anampigia simu ya kumtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…