Duh, hivi mbona dkt slaa yupo hivi, bi kidude aliimba usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Hawa polici si ndio walimuokoa juzi baada ya kupijwa?
Haya ni maneno ya Slaa;
Tunawasubiri tuone hatima yao ni nini, sisi tunajua Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA sasa kwanini tusijilinde wenyewe, alisema Dk. Slaa.
Source: Chadema Blog: Slaa aparura Polisi
Namuuliza Dr.W.Slaa, kwanini aliwadanganya Watanzania kwa maneno hayo? Ilhali Slaa mwenyewe yuko bega kwa bega akipewa ulinzi na Polisi, hivi:
Kama Slaa huo si unafik na ufataani ni nini?
Moderator tafadhali uwache huu uzi, una mafundisho makubwa sana, Bi Kidude anasema, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
Chadema mtaokuja hapa na kuiponda Polisi tutawaona wote kuwa ni wanafik, viongozi wenu na nyinyi wenyewe mnategemea ulinzi wa Jeshi la Polisi saa 24, siku 365 mchana na usiku.
mtu anapokwenda kinyume kwann wasisemwe..?, hata hizi picha polisi hapo waliienda hotelini alikofikia dr slaa.
sasa hivi mmebadili nyimbo mulianza kusema asikanyage Kigoma sasa ndo anaondoka Kigoma, anzeni na ya Mbowe kule Mwanza, Waganga njaa nyie
Hivi hapa jamvini huwa huna mada nyingine zaidi ya CDM elezea hata mafanikio ya miaka 52 ya utawala dhalimu wa CCM?Huyu Mzee sio mpenzi wa ukweli, Kauli zake nyingi zimejaa uchochezi, fitna, majungu na ulaghai.
Kule Arusha alisema nchi haitatawalika tena, vijana wa CHADEMA wakampiga mawe juzi, akakimbilia Polisi.
Akili za babu na za LEMA kama zimefanana vile!
Jeshi la polisi, lakini polisi wanaipenda CHADEMA. Akili yako ndogo, huwezi kumwelewa Dk. Deal na vibwetere wenzako. hata hivyo jeshi hilo linajua nini kinakuja 2015. na Lumumba patakauka, sijui utakuwa wapi.Haya ni maneno ya Slaa;
Tunawasubiri tuone hatima yao ni nini, sisi tunajua Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA sasa kwanini tusijilinde wenyewe, alisema Dk. Slaa.
Source: Chadema Blog: Slaa aparura Polisi
Namuuliza Dr.W.Slaa, kwanini aliwadanganya Watanzania kwa maneno hayo? Ilhali Slaa mwenyewe yuko bega kwa bega akipewa ulinzi na Polisi, hivi:
Kama Slaa huo si unafik na ufataani ni nini?
Moderator tafadhali uwache huu uzi, una mafundisho makubwa sana, Bi Kidude anasema, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
Chadema mtaokuja hapa na kuiponda Polisi tutawaona wote kuwa ni wanafik, viongozi wenu na nyinyi wenyewe mnategemea ulinzi wa Jeshi la Polisi saa 24, siku 365 mchana na usiku.
Huko mtakutana na MATATA siongei sana