Slaa: "Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA..."

Sasa wewe FaizaFoxy na wenzako, mlitaka polisi wakifanya makosa wasikemewe..??
Pia mlitaka polisi wasijirekebishe makosa yao ya kuegemea upande wa CCM..??

Naona sasa zile 'single' za kumtaka Dr. Slaa asikanyake Kigoma zimeisha..!!
Poleni sana, mlidanganywa na 'mtabiri' wenu Kimbunga kuwa ziara ya Dr. Slaa haitafanikiwa..!! na kwa mab ziara hiyo ingeahirishwa..!!

Sasa mmewageukia polisi...??

Ogopeni sana watu 'wanaotabiri'..!!
Wapi sixgates..??

Sixgates alitoka 'nduki' kule Kigoma...!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa huyu babu aaminike kwa lipi maana kauli zake nyingi zina utata.

Dr. Slaa aliwapasha polisi, na sasa wanaelekea kuelewa somo kuwa polisi sio wa CCM, ni wa Wa-Tanzania wote.
Ila hapo kwenye blue text, kama unataka kujua nani aaminike, na nani asiaminike, jaribu kuamini kauli mbiu hii hapa chini....

" .... Maisha bora kwa kila mtanzania...."

6a00d834522fa869e20176169ba48c970c-500wi


A2Cs9iDCIAAxlbk.jpg:large
 
Haya ni maneno ya Slaa;

“Tunawasubiri tuone hatima yao ni nini, sisi tunajua Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA sasa kwanini tusijilinde wenyewe,” alisema Dk. Slaa.


Source: Chadema Blog: Slaa aparura Polisi

Namuuliza Dr.W.Slaa, kwanini aliwadanganya Watanzania kwa maneno hayo? Ilhali Slaa mwenyewe yuko bega kwa bega akipewa ulinzi na Polisi, hivi:




Kama Slaa huo si unafik na ufataani ni nini?

Moderator tafadhali uwache huu uzi, una mafundisho makubwa sana, Bi Kidude anasema, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Chadema mtaokuja hapa na kuiponda Polisi tutawaona wote kuwa ni wanafik, viongozi wenu na nyinyi wenyewe mnategemea ulinzi wa Jeshi la Polisi saa 24, siku 365 mchana na usiku.
Ndiyo wamegundua kodi zetu wote ndiyo zinawalipa mishahara na masurufu yote! bila kujali lichama lile la mafisi watafunaji wa kodi!!
 
Sasa wewe FaizaFoxy na wenzako, mlitaka polisi wakifanya makosa wasikemewe..??
Pia mlitaka polisi wasijirekebishe makosa yao ya kuegemea upande wa CCM..??

Naona sasa zile 'single' za kumtaka Dr. Slaa asikanyake Kigoma zimeisha..!!
Poleni sana, mlidanganywa na 'mtabiri' wenu Kimbunga kuwa ziara ya Dr. Slaa haitafanikiwa..!! na kwa mab ziara hiyo ingeahirishwa..!!

Sasa mmewageukia polisi...??

Ogopeni sana watu 'wanaotabiri'..!!
Wapi sixgates..??

Sixgates alitoka 'nduki' kule Kigoma
...!!

Mkuu mimi kigoma sikwenda kwa ajili ya siasa, na sikujihusisha na chochote agaist dr slaa. Acha kuongea kwa hisia
 
Last edited by a moderator:
Slaa alishawahi mpaka kumtumia sms za vitisho IGP, leo kulioni, hao wauaji wakulinde? au kuna siri katika ile kadi ambayo hutaki kuirudisha?

"Wajulishe polisi wako waandae risasi za kutosha, mabomu ya kutosha maana mtakuwa na karamu ya mauaji na kisha kusherehekea, mjiandae kwa kwenda mahakama ya The Hague" - SMS ya Slaa kwa IGP.

Source: CCM Blog: SLAA AMTISHA IGP MWEMA.

Jee, Dr.W.Slaa, bado ahadi ya The Hafue ipo hai hata baada ya kulindwa maisha yako na Polisi Kigoma?
 
Last edited by a moderator:
sasa hivi mmebadili nyimbo mulianza kusema asikanyage Kigoma sasa ndo anaondoka Kigoma, anzeni na ya Mbowe kule Mwanza, Waganga njaa nyie

Anaondoka kigoma akiwa na majibu ya kuwa wanakigoma wanataka nini! Yale mawe ni salamu tosha
 
SLaa alisema:

"Nakwenda Kigoma Mjini, nikipigwa risasi mipango ya Mungu"

Source: Home

Cha kushangaza, hakumuamini Mungu bali aliwaamini hao hao Polisi anaowaponda siku zote ndio wampe ulinzi.

Kama si unafik ni nini?
 
Kumbe kweli mlituma Matata Kigoma! na kwa post hii inathibitisha kuwa mna matumaini kuwa Matata atawakoa Mwanza, IMEKULA KWENU, SHAME ON YOU ALL WITH DEVILISH PLANS, THE ALMIGHTY GOD IS WITH CHADEMA.
Huko mtakutana na MATATA siongei sana
 
Huko mtakutana na MATATA siongei sana

mkuu Tumekutana Na Mnayemwita Mbunge Mwenye Ushawishi Mkubwa Tena Tumemfuata Kwake Na Tunapeta Tu Sasa Hv Mwanza Unatutishia Diwani Wa Mahakama Matata?
hahahahahahahahaha Chadema Mwendo Mdundo!
 
Back
Top Bottom