Slaa: "Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA..."

Huyu Mzee sio mpenzi wa ukweli, Kauli zake nyingi zimejaa uchochezi, fitna, majungu na ulaghai.
Kule Arusha alisema nchi haitatawalika tena, vijana wa CHADEMA wakampiga mawe juzi, akakimbilia Polisi.
Akili za babu na za LEMA kama zimefanana vile!
Halafu wewe Leo hii uko chadema pamoja na Lema. Akili yako Na Lema zinafanana kwa sasa
 
Slaa Ameondoka Na Chadema Imara,yamebaki Chadema Yakulialia Akina Sumaye Na Luwasa
 
Back
Top Bottom