Slaa: "Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA..."

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,137
107,652
Haya ni maneno ya Slaa;

“Tunawasubiri tuone hatima yao ni nini, sisi tunajua Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA sasa kwanini tusijilinde wenyewe,” alisema Dk. Slaa.

Source: Chadema Blog: Slaa aparura Polisi

Namuuliza Dr.W.Slaa, kwanini aliwadanganya Watanzania kwa maneno hayo? Ilhali Slaa mwenyewe yuko bega kwa bega akipewa ulinzi na Polisi, hivi:

Kama Slaa huo si unafik na ufataani ni nini?

Moderator tafadhali uwache huu uzi, una mafundisho makubwa sana, Bi Kidude anasema, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Chadema mtaokuja hapa na kuiponda Polisi tutawaona wote kuwa ni wanafik, viongozi wenu na nyinyi wenyewe mnategemea ulinzi wa Jeshi la Polisi saa 24, siku 365 mchana na usiku.
 
Last edited by a moderator:
viongozi wote wanatakiwa walindwe na Jeshi la polisi na sio Redbrigade au Green Guard
 
mtu anapokwenda kinyume kwann wasisemwe..?, hata hizi picha polisi hapo waliienda hotelini alikofikia dr slaa.
 
Duh, hivi mbona dkt slaa yupo hivi, bi kidude aliimba usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Hawa polici si ndio walimuokoa juzi baada ya kupijwa?

sasa hivi mmebadili nyimbo mulianza kusema asikanyage Kigoma sasa ndo anaondoka Kigoma, anzeni na ya Mbowe kule Mwanza, Waganga njaa nyie
 
Nilifikiri kazi ya Jeshi la Polisi ni usalama wa raia na mali zao. Last time I checked Dr Slaa was a Tanzanian national. Kulindwa kwake kama raia kunaishia akiwa chama cha upinzani? Would it be a favor and not for he or any other citizen to get police protection? Pili kama aliwahi kulituhumu Jeshi la polisi kwa upendeleo wa namna fulani huko nyuma, warranted or not, je ina maana ameforfeit haji yake ya kupewa ulinzi kama raia? Siasa hizi.
 
Haya ni maneno ya Slaa;

“Tunawasubiri tuone hatima yao ni nini, sisi tunajua Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA sasa kwanini tusijilinde wenyewe,” alisema Dk. Slaa.

Source: Chadema Blog: Slaa aparura Polisi

Namuuliza Dr.W.Slaa, kwanini aliwadanganya Watanzania kwa maneno hayo? Ilhali Slaa mwenyewe yuko bega kwa bega akipewa ulinzi na Polisi, hivi:

Kama Slaa huo si unafik na ufataani ni nini?

Moderator tafadhali uwache huu uzi, una mafundisho makubwa sana, Bi Kidude anasema, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Chadema mtaokuja hapa na kuiponda Polisi tutawaona wote kuwa ni wanafik, viongozi wenu na nyinyi wenyewe mnategemea ulinzi wa Jeshi la Polisi saa 24, siku 365 mchana na usiku.

Analindwa hadi tunajisikia raha aisee!! unajua ukikosea ukasemwa then ukajirekebisha huo ndio uungwana!! jeshi letu la polisi lilikosea awali na ilikuwa ni madhaifu madogo tu yaliyohitaji wao kuelewa nini maana ya democracy na maana ya vyama vingi! kwa muda woote ambao taasisi zote za umma ziko chini ya chama tawala kwa miaka nenda rudi ni wazi walikuwa na haki ya kujisahau kwa bahati mbaya tu! hata mimi enzi zangu za uchipukizi na shule yetu ile ya kijeshi(Manyara Ranch Primary School -1988- 1994) tulifundishwa kuilinda CCM kwa gharama yoyote ile! ila once democracy ilipo panda mbegu yake baadae kidogo nadhani kila mtu aliamka usingizini! nina uhakika kwa sasa askari wetu wote na vyombo vya dola sasa vimeelimika na kuelewa nini maana ya democracy na wanaipenda democracy maana hata wao wanaihitaji! good job askari wetu.
 
kwani kwa akili yako KUWEPO MAHALI ( PRESENCE ) ndiyo kuhusika na yanayoendelea hapo ?
 
mtu anapokwenda kinyume kwann wasisemwe..?, hata hizi picha polisi hapo waliienda hotelini alikofikia dr slaa.

Kwani mteja akigombana na fundi bomba wa DAWASCO na akaamua kutengenza bomba kutumia mafundi wa private ndiyo atakuwa kagombana na DAWASCO!!! Hapana si kweli, polisi wabovu lazima wasemwe na si jeshi kama taasisi mfano kamuhanda specifically and not all police soldiers in iringa
 
polisi somo limewaingia kidogo.mkuu usiwe na hofu Dr.ataendelea kuwapa Daaawa
 
Huyu Mzee sio mpenzi wa ukweli, Kauli zake nyingi zimejaa uchochezi, fitna, majungu na ulaghai.
Kule Arusha alisema nchi haitatawalika tena, vijana wa CHADEMA wakampiga mawe juzi, akakimbilia Polisi.
Akili za babu na za LEMA kama zimefanana vile!
 
Hivi hapa jamvini huwa huna mada nyingine zaidi ya CDM elezea hata mafanikio ya miaka 52 ya utawala dhalimu wa CCM?
 
Haya ni maneno ya Slaa;

“Tunawasubiri tuone hatima yao ni nini, sisi tunajua Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA sasa kwanini tusijilinde wenyewe,” alisema Dk. Slaa.

Source: Chadema Blog: Slaa aparura Polisi

Namuuliza Dr.W.Slaa, kwanini aliwadanganya Watanzania kwa maneno hayo? Ilhali Slaa mwenyewe yuko bega kwa bega akipewa ulinzi na Polisi, hivi:

Kama Slaa huo si unafik na ufataani ni nini?

Moderator tafadhali uwache huu uzi, una mafundisho makubwa sana, Bi Kidude anasema, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Chadema mtaokuja hapa na kuiponda Polisi tutawaona wote kuwa ni wanafik, viongozi wenu na nyinyi wenyewe mnategemea ulinzi wa Jeshi la Polisi saa 24, siku 365 mchana na usiku.
Jeshi la polisi, lakini polisi wanaipenda CHADEMA. Akili yako ndogo, huwezi kumwelewa Dk. Deal na vibwetere wenzako. hata hivyo jeshi hilo linajua nini kinakuja 2015. na Lumumba patakauka, sijui utakuwa wapi.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom