Slaa: "Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA..."

hii ndiyo raha ya dunia ukiwa muongo utaumbuka hapahapa duniani.
 
Haya ni maneno ya Slaa;

"Tunawasubiri tuone hatima yao ni nini, sisi tunajua Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA sasa kwanini tusijilinde wenyewe," alisema Dk. Slaa.

Source: Chadema Blog: Slaa aparura Polisi

Namuuliza Dr.W.Slaa, kwanini aliwadanganya Watanzania kwa maneno hayo? Ilhali Slaa mwenyewe yuko bega kwa bega akipewa ulinzi na Polisi, hivi:

Kama Slaa huo si unafik na ufataani ni nini?

Moderator tafadhali uwache huu uzi, una mafundisho makubwa sana, Bi Kidude anasema, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Chadema mtaokuja hapa na kuiponda Polisi tutawaona wote kuwa ni wanafik, viongozi wenu na nyinyi wenyewe mnategemea ulinzi wa Jeshi la Polisi saa 24, siku 365 mchana na usiku.

dr alijua jua limezama haliwezi kuchomoza tena kumbe mda bado mwingi kweli kwenye hii dunia.
 
Slaa kazeeka sana hvi 2015 akiwa rais hadi 2025 c atakuwa kikongwe bora amwachie mbowe bado dam inachemka
 
kweli duniani hakuna siri slaa watanzania bado wanakumbuka ulivyokuwa unawananga polisi lakini leo ndiyo wakombozi wako.
 
Mgamba hamtaielewa philosophy ya dk.Slaa.Angesema wanalindwa, polisi wasingehangaika kama wanavyofanya sasa.Kwahiyo ukitaka kumuelewa DR.lazima ujifunze Philosophy kwani hata yesu alikuwa haeleweki kwa wajinga kama magamba, lakini welevu walikuwa wanamuelewa
 
Huyu Mzee sio mpenzi wa ukweli, Kauli zake nyingi zimejaa uchochezi, fitna, majungu na ulaghai.
Kule Arusha alisema nchi haitatawalika tena, vijana wa CHADEMA wakampiga mawe juzi, akakimbilia Polisi.
Akili za babu na za LEMA kama zimefanana vile!

Hata kama tunatumia majina bandia sio hili la MSALANI yaani mawazo yako yatakuwa kama CHOO
 
Haya ni maneno ya Slaa;

“Tunawasubiri tuone hatima yao ni nini, sisi tunajua Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA sasa kwanini tusijilinde wenyewe,” alisema Dk. Slaa.

Source: Chadema Blog: Slaa aparura Polisi

Namuuliza Dr.W.Slaa, kwanini aliwadanganya Watanzania kwa maneno hayo? Ilhali Slaa mwenyewe yuko bega kwa bega akipewa ulinzi na Polisi, hivi:

Kama Slaa huo si unafik na ufataani ni nini?

Moderator tafadhali uwache huu uzi, una mafundisho makubwa sana, Bi Kidude anasema, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Chadema mtaokuja hapa na kuiponda Polisi tutawaona wote kuwa ni wanafik, viongozi wenu na nyinyi wenyewe mnategemea ulinzi wa Jeshi la Polisi saa 24, siku 365 mchana na usiku.
ni lazima wasemwe , na matokeo ya kuwasema ndo hayo, sasa wanaanza kutambua wajibu wa kumlinda Rais mtarajiwa
 
Sijaamini hicho ulichoandika. Inshort sikuamini mtoa mada!

Ukiniamini usiniamini haijalishi kitu, sikuandika mimi hayo tazama source uone yametoka wapi hayo. Mimi nimeyaleta tu humu, kwa kukujuza tu kama hujui kutumia link, yametoka blog ya chadema. Jee, na chadema huwaamini?
 
Umewashika pabaya, wanaruka ruka, hawana lao.

Hichi kizee mwaka 2010 kilidai CDM wamekamata kontena la KURA fake Tunduma, kumbe uwongo mtupu.....mara robo tatu ya TISS inaripoti kwake.....hana maana.
 
Mgamba hamtaielewa philosophy ya dk.Slaa.Angesema wanalindwa, polisi wasingehangaika kama wanavyofanya sasa.Kwahiyo ukitaka kumuelewa DR.lazima ujifunze Philosophy kwani hata yesu alikuwa haeleweki kwa wajinga kama magamba, lakini welevu walikuwa wanamuelewa

Kwa hiyo unamaanisha kuwa Yesu angekuwepo leo CCM wasingemwelewa kabisa?
 
Haya ni maneno ya Slaa;

“Tunawasubiri tuone hatima yao ni nini, sisi tunajua Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA sasa kwanini tusijilinde wenyewe,” alisema Dk. Slaa.

Source: Chadema Blog: Slaa aparura Polisi

Namuuliza Dr.W.Slaa, kwanini aliwadanganya Watanzania kwa maneno hayo? Ilhali Slaa mwenyewe yuko bega kwa bega akipewa ulinzi na Polisi, hivi:

Kama Slaa huo si unafik na ufataani ni nini?

Moderator tafadhali uwache huu uzi, una mafundisho makubwa sana, Bi Kidude anasema, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Chadema mtaokuja hapa na kuiponda Polisi tutawaona wote kuwa ni wanafik, viongozi wenu na nyinyi wenyewe mnategemea ulinzi wa Jeshi la Polisi saa 24, siku 365 mchana na usiku.

Polisi wanaishi kwa kodi zetu wasipomlinda watapata redundance hata hivyo wanalinda kiongozi wa Chadema hawamlindi Slaa
 
Haya ni maneno ya Slaa;

“Tunawasubiri tuone hatima yao ni nini, sisi tunajua Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA sasa kwanini tusijilinde wenyewe,” alisema Dk. Slaa.

Source: Chadema Blog: Slaa aparura Polisi

Namuuliza Dr.W.Slaa, kwanini aliwadanganya Watanzania kwa maneno hayo? Ilhali Slaa mwenyewe yuko bega kwa bega akipewa ulinzi na Polisi, hivi:

Kama Slaa huo si unafik na ufataani ni nini?

Moderator tafadhali uwache huu uzi, una mafundisho makubwa sana, Bi Kidude anasema, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

Chadema mtaokuja hapa na kuiponda Polisi tutawaona wote kuwa ni wanafik, viongozi wenu na nyinyi wenyewe mnategemea ulinzi wa Jeshi la Polisi saa 24, siku 365 mchana na usiku.
Kama mkongwe katika CCM na mpenda amani, ukweli na umoja wa kitaifa nataka kusema thread kama hizi hazisaidii chochote zaidi ya kuleta uhasama. Kwanini, tuache ushabiki na kuwaandama viongozi wa vyama iwe ni wa chama tawala ama wapinzani. Haiji kichwani mtu kuleta habari ya zamani ambayo inawezekana mazingira ya wakati huo yalimtuma kiongozi kusema kauli kama hii na kujifanya mtu anataka kuonyesha eti uongo wa kiongozi. Tafadhali, hamtokisaidia chama wala nchi kwa siasa ambazo sijui mnazitoa wapi.
 
Back
Top Bottom