Mleta thread,kumbuka uchumi ni profession. Tangu enzi za industrialization uchumi ulitenganishwa na siasa. Ikumbukwe kuwa hapo zamani za kale watu kama wewe walianza usanii wa kuleta uchumimix na siasa,wachumi wakasema no tutenganishe,tukatenganisha. Nikifikiria thread yako naona wazi kuwa hata wewe hauamini usemacho japo umepost tu ili uwaudhi weledi wa uchumi,wagathabike watukane ili wewe ufuraie matusi. Nakuhakikishia kuwa hata ukienda pale jangwani sec.ukamtafuta mtoto wa darasa la 13/or f6 umweleze kuwa 'bwn ajira zikiongezeka uchumi unakufa' haraka haraka atajua unamkejeli. Mkuu kama utanii basi unaitaji free tuition. Mfano tu,tufanye kampuni ina milioni1 net capital,una wafanyakazi 5,kila mtu anakula laki p.m,na kila mtu anazalisha lak5p.m,holding other factors neglible, mwisho wa mwezi kampuni itazalisha 2.5 p.m less salary 0.5,then 2.0m/=holding other factors equal,kampuni kutoka net investment 1m mpaka 2.0m/=itakuwa imepanda au kushuka? Najua umeleewa,ok,naona umejibu,KUPANDA hapa tiki. Genius brain,panua ubongo ufanye mfano uwe kitaifa,let kampuni=>country, wafanyakazi=>ajira, net capital=>pato la taifa invested,ajira,formal let say lak3.5, Zidishia alafu uangalie net profit itakaaje! Then kumbuka kuna vitu vinaitwa demand and supply theories,tumbukiza humo,then trade cycle,weka tu,then population and development,then MONEY SUPPLY theories, then monetory policy,then export and imports/trade balances, twende financial leverage, tuje employment levels,njoo government a/c,shuka budgetary system,njoo government expenditure,ingia Types of inflation,relate na Population and development,relate them ALL,alafu uileze JF kuongezeka kwa ajira kunaletaje hyperinflated Economy??? Lengo langu si kukuchosha nakumegea vitu vidogo vidogo ili twende sawa. Mkuu kama unafanya masihara utuambie ili tusiendelee kumpigia mbuzi gitaa,kumbuka wenzio waliobahatika kufika ifm,udsm,tia,mzumbe,saut,cbe wanalipia ili kujuzwa vitu ivi si chini ya milioni moja tsh.kwa iyo uko free kuhoji wapi unataka kuelimishwa! Usisubiri kila kitu afanye dr.Slaa,sisi tutakusaidia maana vyote tumepewa na Tanganyika tangu miaka ya 47,dr.Slaa si mtaalamu wa uchumi wala mahesabu,yeye atanena mambo ya m uhimu ,sisi tupo kuwamegea vitu ivi kwa manufaa yenu na vizazi vijavyo!
Pandikizi la CCM lilohitimu secondary za kata
Inflation simply is too much money chasing a few goods. Yaani pesa nyingi kwenye mzunguko wakati uzalishaji ni mdogo. Hivyo mwenye fedha analazimika kununua kwa bei ya juu kwa sababu bidhaa ni kidogo.
Sasa sababu za kuwa na fedha nyingi kwenye mzunguko ziko nyingi. Mtoa hoja anataka kutuaminisha kuwa ajira imeongezeka na hivyo kusababisha kuwepo kwa fedha nyingi lakini hajiulizi hawa walioajiri wanawalipa kutoka wapi iwapo uzalishaji hakuna? Kwa mwajiri yeyote aliye makini hawezi kuajiri wakati uzalishaji hakuna, hivyo kuongezeka kwa ajira hakuwezi kusababisha inflation. Kwa Tanzania uzalishaji mdogo umesababishwa na tatizo la umeme, ufisadi (fedha ambazo zingewekezwa zimeliwa na chombo husika (BoT) kushindwa kutumia monetary measures ku-control inflation.
Tatizo la ufisadi ni kubwa kwani limesababisha ajira kutokwenda sambamba na labour-force. Mafisadi wanawekeza nje hivyo ajira zinatengenezwa nje, kodi kidogo inayokusanywa kwenye migodi inasababishwa na 10% ambayo wakubwa wanaiwekeza huko huko nje - je ajira local zitatoka wapi? Viwanda tulivyobinafsisha vingi havizalishi tena, mashine ziling'olewa na kupelekwa nje hivyo kutengeneza ajira nje na kudumaza ajira za ndani - haya yote yansababisha uzalishaji mdogo.
Hivyo mkuu anayesema ajira zimeongezeka kiasi cha kusababisha inflation has to think twice!
Sio nyie huku JF mlio leta thread kuwa ukwepaji wa kodi umezidi ? sasa itawezekanaje watu wakwepe kodi kiasi kikubwa na hapo hapo mapato yaongezeke ?
Kwa nini watu wanakwepa kulipa kodi?
Babuu unatia aibu duh!....akisema uzalishaji anamaanisha goods and services,GDP(Gross Domestic Product) ya Tanazania imeongezeka kwa asilimia 7,mfumuko wa bei ni10% sababu si kuwa watu wengi wana hela,sababu ni kuwa bidhaa zinapatikana kwa gharama kubwa kwa sababu ya gharama za uzalishaji..OIL! i.e Sectoral inflation(energy sector)Mabenki, kampuni za simu na NGOs wanazalisha bidhaa gani???
je ulishawahi nunua mkate toka VODACOM au sukari toka NBC??? acha kuchangia usichokijua!!!
tumeandika wakati mmoja,sijakugeza!!!generally the lower the supply the higher the price...production ikiwa ndogo watu watachase few goods hivyo wafanyabiashara watapandisha bei ya bidhaa na utannua kwa bei hiyo au zaidi sababu bidhaa n kidogo hiyo ni sababu ya kwanza na kuu ya inflation,..huyo mchumi anayesema inflation inatokana na ajira kuongezeka si kweli,japan ina high employment rate lakini lower inflation rate compared to tz,.ina maana tuna ajira nyingi kuliko japan,..kama high inflation rate ni indicator ya high employment rate basi zimbabwe kuna ajira kwa kila mtu hadi watoto wachanga,serikali kupitia fiscal policy wanaweza kusababisha inflation kama itaxperience budget defict yaani inatumia zaidi ya inachokusanya(rejea matumizi ya anasa ya serikali ya ccm na jk)ukipandisha kodi utakuwa unacontrol inflation lakini unaweza kupandisha kodi lakini mzunguko wa fedha usipungue sababu wafanyabiashara wengi hawalipi kodi(tra labda wala rushwa au marafiki wa wakubwa wanaachiwa hawalipi kodi)na sababu nyingine nyingi za inflation,..purchasing power parity(ppp),fisher effect,intl fisher effect nk
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama Dr. Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.
Pandikizi la CCM lilohitimu secondary za kata
Mie hii point nakubaliana nayo kabisa , kutokana na sera za uwezeshaji wananchi ajira zimekuwa kwa kiasi kikubwa sana. Mfano, hebu angalia sacco walizoanzisha wananchi na kupata mitaji kutoka mabenki zimeongezeka mpaka sasa zimefikia 12,345. Na sehemu kubwa ziko vijijini zaidi ya 80%
Jamani tusiwe wavivu wa kufikiri kwani kila kitu lazima Dr Slaa akisema ndio muone ukweli,mwishowe mtakuja kusema hata mchumba wa kuoa ili kujua kama anafaa lazima Dr Slaa asema naam kijana huyo mchumba anakufaa,Dr Slaa si Mungu ni kama wewe na mimiNilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama Dr. Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama Dr. Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.
Kwani hao waongeaji walikuwa ni viongozi wa serikali? Na kama sio, Serikali itoe tamko na kukubali au kukanusha hii taarifa. Kwa nini Slaa aisemee?Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama Dr. Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.