Moseley
Senior Member
- Jul 10, 2010
- 187
- 94
Nimekuwa nikifatilia watu waliojiunga na "Dr. Wilbroad Slaa facebook page"..
Dr. Willibrord Slaa | Facebook
Wakati wa harakati za kuanza kampeni, page hii ilianzishwa na nilibahatika kupewa ua-administrator wa muda kutokana na friends wachache (walivyokuwa ni 300 tu)...
Kipindi hicho page ya JK facebook
Jakaya Kikwete | Facebook
ilikuwa na friends 7000.. Wakati huo difference ilikuwa zaidi ya 6000.(Elfu sita)
Nimekuwa nikifatilia, na leo hii nimeona Dr Slaa ana friends 20,013 (Elfu ishirini) na Kikwete an friends 20,621 (Elfu ishirini na mia sita).. Tofauti kwa sasa ni 600 (Mia sita).
Ndo maana nachelea kusema, Dr Slaa anakubalika!!!! Ndani ya miezi mitatu kapata friends elfu ishirini (20,000) na kikwete akiambulia (elfu kumi na tatu)..