Slaa anakubalika FB kuliko JK !!!

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
Nimekuwa nikifatilia watu waliojiunga na "Dr. Wilbroad Slaa facebook page"..

Dr. Willibrord Slaa | Facebook

Wakati wa harakati za kuanza kampeni, page hii ilianzishwa na nilibahatika kupewa ua-administrator wa muda kutokana na friends wachache (walivyokuwa ni 300 tu)...

Kipindi hicho page ya JK facebook

Jakaya Kikwete | Facebook

ilikuwa na friends 7000.. Wakati huo difference ilikuwa zaidi ya 6000.(Elfu sita)

Nimekuwa nikifatilia, na leo hii nimeona Dr Slaa ana friends 20,013 (Elfu ishirini) na Kikwete an friends 20,621 (Elfu ishirini na mia sita).. Tofauti kwa sasa ni 600 (Mia sita).

Ndo maana nachelea kusema, Dr Slaa anakubalika!!!! Ndani ya miezi mitatu kapata friends elfu ishirini (20,000) na kikwete akiambulia (elfu kumi na tatu)..
 
Friends wengi wa JK ni wa DR SLaa

Kipindi cha kampeni friends wengi wa JK walikuwa wanamshambulia JK kwahiyo wengi wao walikuwa ni Slaa Friends

Double Entry
 
Nimekuwa nikifatilia watu waliojiunga na "Dr. Wilbroad Slaa facebook page"..

Dr. Willibrord Slaa | Facebook

Wakati wa harakati za kuanza kampeni, page hii ilianzishwa na nilibahatika kupewa ua-administrator wa muda kutokana na friends wachache (walivyokuwa ni 300 tu)...

Kipindi hicho page ya JK facebook

Jakaya Kikwete | Facebook

ilikuwa na friends 7000.. Wakati huo difference ilikuwa zaidi ya 6000.(Elfu sita)

Nimekuwa nikifatilia, na leo hii nimeona Dr Slaa ana friends 20,013 (Elfu ishirini) na Kikwete an friends 20,621 (Elfu ishirini na mia sita).. Tofauti kwa sasa ni 600 (Mia sita).

Ndo maana nachelea kusema, Dr Slaa anakubalika!!!! Ndani ya miezi mitatu kapata friends elfu ishirini (20,000) na kikwete akiambulia (elfu kumi na tatu)..

Wanao jiunga wengi kwa Slaa ni vilaza , wanafuata mkumbo tu.
 
huo anayesema fans wa slaa ni vilaza anajua maana yake hv kati ya jk na slaa nani kilaza?the same applied kwa fans wao
 
siamini km kuna mtu hajui nani kilaz kati ya kikwete na dr.slaa................kiongozi dhaifu kama kikwete unaweza kumfananisha na dr.slaa kweli km sio dharau ni nini?

huo anayesema fans wa slaa ni vilaza anajua maana yake hv kati ya jk na slaa nani kilaza?the same applied kwa fans wao
 
Simple fact! JK's popularity rating imeshuka by 60% na ya Dr Slaa imepanda by more than 80% kuna tofauti kubwa sana sasa hivi kati ya hawa jamaa 2. Kama mie mwongo nibishie nitakwambia nimeipataje hiyo rating.
 
im afraid that unajua FB users wengi wana click tu option ya like au to add mtuas a friend just to see photos,news ,umbea etc so msiwahesabie sana hawa watu na mkitaka kuchunguza wengi ni mashabiki tu na wengi ni watoto na watu wasio busy na maisha.come=on guys hivi FB nayo mnataka kuipa status ya poll.?ukitaka kuchunguza wengi wana urafiki na jk n at the same time slaa.
 
Kwani kilichomfanya JK kuwa maarufu mwaka 2005 ni nini? Maana hakuwai kuwa kiongozi hodari, shupavu na mwenye msimamo. Hatukumjua wengi walifikiri ni mwenzetu. Tulifumba macho na kuziba masikio juu ya usemi usemao ukitembea na mwizi utakuwa mwizi. JK anatembea na Lowassa na Rostam halafu habaki msafi haiwezekani. JK hakuwa na umaharufu wowote zaidi ya ushamba wa watanzania walio wengi tena wasio na msimamo juu ya mstakabali wa maisha yao na Taifa.
Najiuliza hiyo FB ya JK unapata majibu gani au maelezo ya namna gani maana mdahalo ulimuhumbua kupita maelezo. Chunguzeni vizuri mtakuta yamefutwa futwa kwa correction ink.
Dr. Slaa mnaweza kushare mawazo ya kawaida juu ya maisha ya mtanzania. Ni msomi na mwandishi wa vitabu. Waweza hata kujua juu ya ujamaa, uzuri na ubaya wake, nafasi ya Tanzania ktk ulimwengu waleo. Lakini JK, Piii piii, vuvuzera, Yusuph mzee au Mzee Yusuph, The Original Comedy. Rais anayewarusha masela Bungeni kama appreciation kwa namna walivyoshiriki kampeni.
 
Nimekuwa nikifatilia watu waliojiunga na "Dr. Wilbroad Slaa facebook page"..

Dr. Willibrord Slaa | Facebook

Wakati wa harakati za kuanza kampeni, page hii ilianzishwa na nilibahatika kupewa ua-administrator wa muda kutokana na friends wachache (walivyokuwa ni 300 tu)...

Kipindi hicho page ya JK facebook

Jakaya Kikwete | Facebook

ilikuwa na friends 7000.. Wakati huo difference ilikuwa zaidi ya 6000.(Elfu sita)

Nimekuwa nikifatilia, na leo hii nimeona Dr Slaa ana friends 20,013 (Elfu ishirini) na Kikwete an friends 20,621 (Elfu ishirini na mia sita).. Tofauti kwa sasa ni 600 (Mia sita).

Ndo maana nachelea kusema, Dr Slaa anakubalika!!!! Ndani ya miezi mitatu kapata friends elfu ishirini (20,000) na kikwete akiambulia (elfu kumi na tatu)..

hata comments na likes za Dr. Ni nyingi kuliko za mkwere.
 
Wanao jiunga wengi kwa Slaa ni vilaza , wanafuata mkumbo tu.
Mh!huu mtazamo wako unatisha!vipi wanaojiunga na JK hakuna anayefuata mkumbo?vipi wanajiunga na Jk wate wako vizuri kichwani?vipi wewe binafsi uko safi, kwa kutoa kauli ya kitoto kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom