Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

Good thing ni kwamba amekiri tuhuma zote ikiwemo kulindwa na maofisa usalama wa Taifa, kuishi hotelin Serena kwa zaidi ya mwezi sasa...kwenda Serengeti kufanya vikao na maofisa wa CCM, kukutana na Dk Mwakyembe saa chache kabla ya kukutana na waandishi wa habari...

Mwisho wa siku naamini atakiri hata ile tuhuma kubwa ya kununuliwa kwa dau kubwa na CCM!

Mkuu si umemsikia mchumba wake anasema watafungua mradi wa mashule na mahospitali huu sio uwekezaji wa kitoto ccm wamekata dau takatifu.
 
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.

Babu=babu,hivi shule ulienda kusomea ujinga FaizaFoxy?
 
Last edited by a moderator:
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tuuuuu.
 
Jamani leo mmenikumbusha mtu mmoja. Hivi MAKONGORO NYERERE yupo wapi??
 
Mimi siongelei nchi nyingine naongelea tanzania, ngoja nikupe tafakuri ndogo tu, inderectly jinsi ccm ilivyoleya umaskini kwenye jamii ya pwani ntaandika in codede language(kwa mafumbo) unajua ccm imesababisha umaskini sana hasa maeneo ya pwani na umaskini umesababisha vijana wengi hasa wa kiislamu kujiingiza kwenye vitendo au matendo ambayo hayapendezi mfano ukahaba na mambo ka bongo fleva nk kutokana na kutafuta kipato, mfano vijana wa kiislamu walioko bongo fleva
1.ali kiba
3.nasibu abduli(diamond)
4.samir(mr blue)
5.shetan
6.dully
7.mwana fa
8.mwasiti
9.shilole
Na wengine wengi karibia 90%, unajua kwa nini wapo huko ni kwa sababu ya kutafuta njia rahisi ya kutoka hasa baada ya ccm kuleta umaskini mkubwa kwenye jamii yenye waislamu wengi. Hapo nimekupa mfano obvious ila ukienda kwenye ukahaba nenda buguruni pale uliza kati ya machangudoa 5 wanne wanamajina ya kiislamu
Anyway nisiongee sana, ila mimi nakuonaga unavyotetea uslamu huku unatetea ccm iendelee kutawala na kati kuna impact kibao kwenye uislamu huwa sielewi..!? Au ni unafki sijui.!? Au ni njaa unapata kula kupitia ccm.?! Au ni mtoto wa kigogo wa chama na huku unaipenda dini.? Sielewagi kabisa..?! Ila nikuache bana..? Allah ndo mjuzi zaidi na katujalia upeo tofauti wa kuangalia mambo ila angalia watu ka kina nuhu mziwanda, wema, shamsa ford, qchillah na wasanii wengine wengi watoto wa kiislamu wanakimbilia huko kwa sababu ya umaskini ulioletwa na DUBWANA ccm, kila la heri ila wanafki watatupwa daraja la chini kabisa la moto.


Sasa fikiri Mwenyekiti wa chama ana kilabu cha pombe cha usiku ambao makahaba watoto wadogo wadogo wanajiuza hapo, tumpe nchi? Si ataifanya nchi nzima danguro? Fikiri.
 
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.

Hiyo inaitwa ukichimama nchale ukikaa nchale.Kwaheri CCM.
 
Last edited by a moderator:
attachment.php


My take
kama mwanasiasa level ya Dr Slaa anashindwa kujisimamia maneno ya kuongea basi tuna safari ndefu ya kwenda
Hivi mpaka leo unaamini vichwa vya habari vyaagazeti ya Tz? wee una mapungufu.
 
Sasa fikiri Mwenyekiti wa chama ana kilabu cha pombe cha usiku ambao makahaba watoto wadogo wadogo wanajiuza hapo, tumpe nchi? Si ataifanya nchi nzima danguro? Fikiri.
Hiko Kilabu kimepewa kibali na mamlaka? Je kinalipa kodi?

Haya sasa, changanya na za kwako!!!
 
FF tokea lini ukamsifia na kumkweza Slaa..maana we ni mmoja wa waliokuwa wakimponda,si bure kuna namna hapa
 
Sasa fikiri Mwenyekiti wa chama ana kilabu cha pombe cha usiku ambao makahaba watoto wadogo wadogo wanajiuza hapo, tumpe nchi? Si ataifanya nchi nzima danguro? Fikiri.

1999 JK akiwa bungeni alipendekeza makahaba watozwe kodi na kazi yao ihalalishwe km ilivyo kwa nchi za ulaya#

Sasa JK ni Rais na vitendo vya ukahaba na ushoga vimeongezeka sana ktk awamu hii! Haijawahi kukemea popote pale tangu awe Rais#
 
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.

Kwi kwi kwi kwi!!! Kweli dunia mzuguko!! Leo Faizyfox kawa mpambe wa Dr. Slaa?
 
Last edited by a moderator:
Mambo yake imeisha. Alidhani yeye ndo chadema na chadema ni yeye. Chadema ni taasisi ya watu. Ameshangaa mpaka leo hakuna aliejiuzulu kumfuata. Lofa..
 
Back
Top Bottom