Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

1999 JK akiwa bungeni alipendekeza makahaba watozwe kodi na kazi yao ihalalishwe km ilivyo kwa nchi za ulaya#

Sasa JK ni Rais na vitendo vya ukahaba na ushoga vimeongezeka sana ktk awamu hii! Haijawahi kukemea popote pale tangu awe Rais#

Weka hansard, wacha uongo.
 
Mussa allan tuwekee ile picha ya mshumbuzi amelala kwenye kochi
 
ninyi ndo mnafanya mapadri waonekane vibaka huyu mzinzi naye ni Padri?

Kwani kuna padri mwenye afadhali dunia hii? Wengine wanalawiti wengine wanalawitiwa, i wazi kabisa, unataka ushahidi?
 
Sasa fikiri Mwenyekiti wa chama ana kilabu cha pombe cha usiku ambao makahaba watoto wadogo wadogo wanajiuza hapo, tumpe nchi? Si ataifanya nchi nzima danguro? Fikiri.
I hope umenielewa japo umekimbia point yangu
 
Wanasema utu uzima dawa... Wako utakua sumu.

Usipinge kila jambo. Kwani,umemsahau Padri Lyimo aliyenaswa akimlawiti mvulana maeneo ya chuo kikuu Dar? Alikuhukumiwa miaka 21!

Ulawiti umeshika kasi tz. Interrogation ya masheikh wa UAMSHO imedaiwa kuendeshwa kwa udhalilishaji huo huo...Mungu ainusuru tz yetu. Masheikh wanala....tiwa! Mlipotufikisha sipo kabisa, tunataka mabadiliko tu!
 
we ni jini,ktk vipindi vyote vya uongozi anapotawala gaidi nchi inayumba sana maana yanaiba kwenda kucheza ngoma tu.
bigresult .......... mmeshirikisha Maaskofu, Benki yenu na Kanisa katika Ufisadi. Mwisho wa siku mnajenga Makanisa Makuubwa ndani mnakita Masanamu ! .... damhn !:fear:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom