Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.
Leo unamsujudia padri?
 
Last edited by a moderator:
Kanisa na lenyewe linatakiwa kukaa chini na kutafakari.Limekumbwa na kashfa nyingi sana siku za karibuni kitu ambacho kama kanisa la Mungu halitakiwi kuwa nacho.Hawa maaskofu wamekuwa wakipokea fedha kutoka kwa watu ambao si waaminifu.Hapa waumini tuwaeleweje?.Huyu Gwajima ni mfanyabiashara tu hakuna Gospel hapo.

....komrade hili ni jambo rahisi la ukweli, ambalo kwa bahati mbaya linaonekana kuwa gumu kueleweka na wengi, na pia wengi miongoni mwa wenye kulielewa kuwa na "ukunguru" wa kulisema....na bado tunadai na kutarajia mabadiliko ktk hali ya namna hii....
 
Ivi Nyakati pia ni gazeti?
Mtoa mada tupe kilichomo kwa iyo heading maana hayamagazeti mmengine mengine kuyasoma ni issue
 
Udadisi tu, hivi kwa nini hujidai kuupenda uislamu alafu unashabikia chama kilicho uangamiza uislamu tanzania.
nisiandike sana nipate ban..la " wanafki watawekwa daraja la chini kabisa la moto"

Alokwambia huyu ajuza no muislam nani mkuu?
 
Mbowe ni 'kichwa balaa 'alisha mscan Daktari akona safari hii hamna kitu!!
 
attachment.php

My take
kama mwanasiasa level ya Dr Slaa anashindwa kujisimamia maneno ya kuongea basi tuna safari ndefu ya kwenda

Na mmiliki wa gazeti hilo ni nani kama si Gwajima?
 
Dr. kichaa kweli anachagua upande wa kuangali KWELI halafu anakuja kusema kweli ina tabia ya kuwa na upande.Kweli ingekuwa inafuta upande ingekuwa ngumu sana kufikia kweli.
 
Kanisa na lenyewe linatakiwa kukaa chini na kutafakari.Limekumbwa na kashfa nyingi sana siku za karibuni kitu ambacho kama kanisa la Mungu halitakiwi kuwa nacho.Hawa maaskofu wamekuwa wakipokea fedha kutoka kwa watu ambao si waaminifu.Hapa waumini tuwaeleweje?.Huyu Gwajima ni mfanyabiashara tu hakuna Gospel hapo.

Wagalatia ni wezi na ndio wanao irudisha nyuma nchi hii!
 
attachment.php

My take
kama mwanasiasa level ya Dr Slaa anashindwa kujisimamia maneno ya kuongea basi tuna safari ndefu ya kwenda
sijawahi kusikitishwa na mtu yeyote katika kipindi cha miaka 15 iliyopita kama alivyonisikitisha Dr slaa !
 
huyo Gwajima amemrudisha mke wa mbasha maana naona mnajadili ya Slaa lakini ya Gwajima mnayaacha
 
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.

Ha ha ha leo hadi wewe unamkubali slaa,kweli yupo ccm pepo mchafu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom