Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

Faiza foxy unazidi kumchafua slaa tangu ln ww ukamtetea Slaa hii inatuonyesha kuwa Slaa yupo upande wenu
 
Azam 2 mbona ni katuni tu saa tatu ishapita?!
Labda karetreat-maana kila anavyozidi kwenda ndo-watu wanazidi kushidwa kumueleawa na kuuliza maswali magumu, of coz na lowasa kashamjibu, kwa kumuliza list of shame alikuwa na wenzake na kuna wanaogombea nafasi mbali mbali na kupiga kampeni, mbona hawaongelei wao.?
Lakini pia anasema anashindia mihogo wakati gharama za mkutano ni karibia milioni 300
na mke kasema watafungua mashule na mirado mbali mbali
Lakini pia swali la msingi ufisadi ulianza richmond na kuishia richmond tu..!?
yaani dah natamani ningekuwa mimi namuhoji ningemkaanga na maswali mbaya
maana wanataka kutuaminisha umaskini wa nchi miaka 54 umeletwa na lowasa na sio
mkapa, makinda, kikwete, magembe, ndungai, kinana, tibaijuka, chenge, mulugo nk
 
Udadisi tu, hivi kwa nini hujidai kuupenda uislamu alafu unashabikia chama kilicho uangamiza uislamu tanzania.
nisiandike sana nipate ban..la " wanafki watawekwa daraja la chini kabisa la moto"

Uislam hautoweza kuangamizwa na yeyote yule, unazidi kushamiri na kukuwa kwa kasi duniani kote - kumbuka hilo.
 
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.

Mbona pepo anajulikana,ni wewe...shetani mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Gwajima hajapata misukosuko kama Yesu yesu kwa sababu ya uwezo wake wa kutenda miujiza wale makuhani waanzilishi wa dini waliyoiita kubwa walimwita mchawi, muongo mpotoshaji hata wakamshitaki!!!!!wewe unayesema. GWAJIMA ana dhambi jichunguze maana umechukua nafasi ya Mungu
 
utahangaika sana mwaka huu bibi yangu. tulia sindano ziingie...acha kubana makalio!

Nnaona ujumbe umekuingia na umeshindwa kuujibu unaanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
View attachment 284110

My take
kama mwanasiasa level ya Dr Slaa anashindwa kujisimamia maneno ya kuongea basi tuna safari ndefu ya kwenda


chanzo gazeti la nyakati!....

hahaha give us a break.... nyie mnasabisha huyu mzee anarudi tena hewani kupinga huu uzushi maana alishaongea huku akiendelea kuwakandamiza ukawa ...mngekaa kimya ingekuwa vizuri zaidi...

nanukuu

" askofu gwajima.. mbele ya mbowe, na lisu alisema ameshuhudia maaskofu wakihongwa milioni 60" - Maneno ya slaa aliyarudia tena Star TV ...

ngwajima ni msanii! mnakumbuka kuna msukule ulimuumbua...! ? kumbe anakodi wale watu...
 
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.
ndio hivyo ishatokea/inaenda kutokea.hutaki unacha.
 
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.

Hivi wewe ni mwanamke au mwanaume? Samahani lakini..!
 
Last edited by a moderator:
Udadisi tu, hivi kwa nini hujidai kuupenda uislamu alafu unashabikia chama kilicho uangamiza uislamu tanzania.
nisiandike sana nipate ban..la " wanafki watawekwa daraja la chini kabisa la moto"
Ndugu yangu me ni muislamu wa swala tano!
Hilo suala huwa ninishindwaga kulijuwa kabisa tunajuwa mashekhe wamefungwa kwa sababu za kizushi ila baadhi ya watu kama huyu dada wananipaga maswali mengi sana ya kujiuliza juu ya imani !!!
Wakati mwingine nina jiulizaga kwanini mtu anaenda msikitini!!!?
Au Nini maana ya undugu wetu katika imani!!?
Tuweye radhi mkuu wengi wetu ila kwa sasa wamebaki wachache hawajitambuwi!!
Ila ata huyu dada fox nimemfanyia tafiti nyingi tangu kampeni zimeanza nadhani mwaka huu ccm hawana kura yake !!
 
Kanisa na lenyewe linatakiwa kukaa chini na kutafakari.Limekumbwa na kashfa nyingi sana siku za karibuni kitu ambacho kama kanisa la Mungu halitakiwi kuwa nacho.Hawa maaskofu wamekuwa wakipokea fedha kutoka kwa watu ambao si waaminifu.Hapa waumini tuwaeleweje?.Huyu Gwajima ni mfanyabiashara tu hakuna Gospel hapo.

mkuu haikuhusu tunaomwamini na kusali kwake ni sisi wewe inakuuma nn!?
 
Slaa kama angekuwa anasoma humu kwa makini angeshaajua ufdaifu wake na bomu alilotarajia liuwe Ukawa limemlipukia yeye.Lakini kwa sababu ni mbishi kama ngozi ya pump basi huko kwenye matv ataendelea kuumbuka hadi akome
 
Maajabu sana FaizaFoxy leo unamtetea Dk mihogo!

Kiukweli amepotoka sana na ukimwangalia kwa makini akiongea unaona kuna dalili anajutia kwa aliyoyafanya!
"when a stupid man is doing something he is ashamed of, he always declares that it is his duty"

George Bernard Shaw 1948

Dr. Slaa anajua the way tunafikiri juu yake, ndio maana anasisitiza kuwa NI WAJIBU WAKE KAMA MTANZANIA KUTUMIWA NA CCM. Hayo maneno kayasema mtu mwenye miaka 102, miaka miwili kabla hajafa
 
leo TISS ndo wamekuwa walinzi wa padre muasi hv kpnd hiki na kpnd kile cha list of sheme ni kpnd gan maisha yake yako hatarini? yan atuitaji PHD kujua dr mihogo kapewa vpande 30 vya pesa ili awasaliti watanzania
 
Back
Top Bottom