Skirt fupi Maofisini

Hahhahhaa umenikumbusha wakati nafundisha aiseeee, niliwafaidi sana sana. Si wananikalia uchi wenyewe, nilikua nawaaambaia kabisa mbele ya darasa kuwa asanteni nimeshawachungulia naomba mkae vizuri sasa tuendeleee na somo. I wish ningefundisha darasa kama hili. Nisingeacha ualimu hata kwa dawa si kiherehere chao wenyewe? kwani nimewatuma?
una ushauri gani kwa sisi walimu.....?
 
Hahahh Hizo JAMANI zilivyo nyingi hata aliefumaniwa hataji nyingi hivyo:sly:
 
haya yana chembe za ukweli,it seems kuna wanaovaa hivi kwa ajili ya kutegatega watu,haya

Mama yangu aliniambia hivi,,,,,,,,,,,,
Kuzaliwa mwanamke ni ushindi!!!!!!!!!! mshindi ni yule anaechukua tuzo tu so haijalishi hata kwa kutega
 
Hao wenye sura ngumu ndo wazuri mkuu, hawana utaniutani ni seriousness mwanzo mwisho hata kwenye ndoa
 
Vimini ni chachandu ofisini na ni kipimo halisi kama we ni rijali au laa, wanaume tukikosa uvumilivu tufunguke dada zetu wamejaaliwa huruma na mola wetu.
 
Labda sio mm na hiki kitumbua!!!!!!!!!!!! hiyo sabuni itageuka mafuta mwnyw utalegea....

Hahaaaa... not that eazy hasa nkijua lengo lako n kunitega kiruuuu.... kama hanis vle... kumbe nkikushika utajua mpaka kihindi
 
Tutegeni tu.. fahar ya macho kuna wengne tukiona mipaja kaz znaenda kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…