Hebu kuwa na fikara kidogo Faiza usiwe MTU wa kukariri soma tena heading kwa umakini Kisha tafakari
Umebadili utumbo wa habari yako baada ya mimi kuweka link na kukubaini kuwa ni muongo uliposema hiyo eti ni "ocean Road alfajiri hii" khaa! au ma moderator wamebadili, huna hata haya, kusema uongo.
Asante sana FF!, hii inatusaidia sana tunapojadili serious issues humu unaweza kudhania unajadaliana na watu timamu, kumbe ni wengine ni vichaa hayawani wakubwa wasio hata haya!.Pasco
FF, sometimes hawa modes wetu ndio wabatuharibia hili jukwaa!, mtu alete matapishi ya utumbo wa jana, kwenye sahani ya chakula na kutuwekea mezani wageni waje kula!, then akaja mwingine akaleta sahani ya chakula safi, kilichopikwa kikapikika, kisha mode anaiondoa ile sahani ya utumbo na kuiweka ile sahani ya chakula safi, huku lile jiongo liloleta ule utumbo linaendelea kusimama pembeni huku likichekelea na likishukuriwa kwa upishi murua!.Halafu tazama Moderator s wanavyomlinda, wamebadili kichwa cha habari kutoka "ocean Road alfajiri hii" mpaka hapo palipokuwa ukweli na nilipabainisha mimi baada ya kuona mleta mada anasema uongo. Na utumbo wa habari umebadilishwa hakuna hata "reason for editing".
Huyo ikiwa ndio moderator wa JF imagine tulipofika!
Kama mtu kasema uongo, futa nyuzi yake na uweke aliyeleta ukweli kuubaini huo uongo. Kwanini credit ya ukweli apewe mtu muongo na anaeupoteza umma unaoingia humu JF?
Unajuwa kuna watu hawajui maana ya Information Technology, wanachukulia haya mambo kimzaha mzaha kwenye mitandao serious, hajui kuwa kuna watu huwa wanaamini kila wanachokisoma JF. Na hawa viongozi wa JF ndiyo wananishangaza kuwacha mpuuzi kama huyu aendeleze ujinga kwa kufanya watu mahayawani na kujidai kuwa yeye ndiye aliyeleta habari iliyo sahihi, wakati yeye ndiye aliyeleta uongo na mimi nikambaini.
Usikute ni shemeji yake Invisible au Paw au PainKiller.
cc Invisible, Paw, PainKiller, Moderator
FF, sometimes haws modes wetu ndio wabatuharibia hili jukwaa!, mtu alete matapishi ya utumbo kwenye sahani ya chakula na kutuwekea mezani wageni waje kula!, then akaja mwingine akaleta sahani ya chakula safi, kilichopikwa kikapikika, kisha mode anaiondoa ile sahani ysa matapishi ya utumbo na kuiweka ile sahani ya chakuyla safi, huku lile jiongo liloleta ule utumbo linaendelea kusimama pembeni huku likishukuriwa kwa upishi murua!.
Mkuu Mshana, hata kama modes saved your face, ni uungwana just to say sorry kuifanya jf ni darasa la chekechea!.
Pasco
DUI bado uko na mimi tuu mods ndo wamebadili haya rudi siasani fasta kuna watu wanamnanga yule mjamaa
πππ
Pasco hapana nasimama kutetea nilichoandika halafu umeshanikandia sana which is OK to me lakini bado nasema tuache lugha za vijiweni na misutano ya kike tujadiliane kwa hoja Mimi ni muungwana naapoligise ninapoona nimekosea na si vinginevyo
Hizi lugha unazojaribu kutumia hazitanifanya nibadili msimamo Wangu na hata kuwakandia mods haitasaidia pia, wao wamepima na wakaona ukweli ni upi
Janjaweed kilichotokea ni watu kukurupuka na kupeleka mawazo yao Ocean road Dsm lakini kama ungepata nafasi ya kutafakari kidogo picha kama ile inahitaji automatic camera ambayo ni very powerful na yenye flash kunywa pia iangalie kwa kutulia utagundua mengi
Ukitaka kujifunza Uchawi nenda kasomea Mambo ya Uchawi nchini Ujerumani kuna shule za kujifunza Mambo ya Uchawi huko nchini Ujerumani.Kiukweli napenda juju naupenda uchawi na natamani siku moja nipate PhD ya uchawiView attachment 171901