Ahahahah.....nacheka kama mazuri
Janjaweed kilichotokea ni watu kukurupuka na kupeleka mawazo yao Ocean road Dsm lakini kama ungepata nafasi ya kutafakari kidogo picha kama ile inahitaji automatic camera ambayo ni very powerful na yenye flash kunywa pia iangalie kwa kutulia utagundua mengi
Umekiri kuwa "halisi" sasa yanini unakuja kudanganya watu kuwe eti hiyo picha ni "Ocean road alfajiri hii"?
Uongo unakusaidia nini?
Kikulachochako una maswali mengi kwa ni wee ni PORISI?
Asante sana FF!, hii inatusaidia sana tunapojadili serious issues humu unaweza kudhania unajadaliana na watu timamu, kumbe ni wengine ni vichaa hayawani wakubwa wasio hata haya!.Pasco
Pasco unatumia lugha ngumu bila sababu najua nimeudhi wengi kwakuwa walifikiri walivyitaka wa na si katika uhalisia wa habari yenyewe tujifunze kuwa great thinkers kwenye kila kitu
Asante sana FF!, hii inatusaidia sana tunapojadili serious issues humu unaweza kudhania unajadaliana na watu timamu, kumbe ni wengine ni vichaa hayawani wakubwa wasio hata haya!.Pasco
Hahahaaa mpwa afadhali umeamka japo umechelewa kidogo
jana nililala njaaa sababu ya uchovu nimeamka asubuhi na kusonga ugali fasta njaa kinoma
Pasco nimekuelewa sana tuu lakini tujifunze kutafakari kila kitu nimesema ocean road lakinu sikusema ni wapi went I wakakumbilia kufikiri ni Obama rd , nimesema shetani fikiri nikwanini nisiseme kizuka mzimu au jini ? Kilichotokea hapa ni kwamba watu walifikia conclusion wanayotaka wao Vila kufikiri kwa kina
Mkuu Mshana, usijitetee kitoto!, kuna kitu kinaitwa "connotation meaning!" ni kile ambacho watu wa eneo husika watakirelate, mfano nikipandisha thread humu imeandikwa "JK Afumaniwa!" lengo langu ni kumaanisha "Juma Kengele", watu watakuja mbio kutokana na connotation meaning ya JK ni Jakaya Kikwete hadi watakaposoma details ndipo itaeleweka!. Unapoweka headline hii "Ocean road alfajiri Hii...live kabisa SHETANI", its automatically umetudrive kwenye connotation meaning tulioizoea!, na nimesisitiza sitatizwi na jokes za humu, bali the motive behind!.Pasco pitia tena heading Kisha angalia tena picha the heading itself is tricky hapo ndo wengi wamefeli
Mkuu Mshana, usijitetee kitoto!, kuna kitu kinaitwa "connotation meaning!" ni kile ambacho watu wa eneo husika watakirelate, mfano nikipandisha thread humu imeandikwa "JK Afumaniwa!" lengo langu ni kumaanisha "Juma Kengele", watu watakuja mbio kutokana na connotation meaning ya JK ni Jakaya Kikwete hadi watakaposoma details ndipo itaeleweka!. Unapoweka headline hii [h=2]"Ocean road alfajiri Hii...live kabisa SHETANI", its automatically umetudrive kwenye connotation meaning tulioizoea!, na nimesisitiza sitatizwi na jokes za humu, bali the motive behind!.[/h]
Pasco
Duu nakuja na mboga ya yule samaki Wangu wa cocoView attachment 171884