Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Freedom of speech na ukisha kuwa public figure uwezi zuia majina na matani juu yako Lamda uwe uongozi wa kibabe

Hapana mkuu, wala haihusiani na ubabe, kila kitu hakina budi kiwe na mipaka.
 
mkuu kwani sisi tunamjadili Magu?si tuna ndugu yetu anaitwa Sizonje sa sijui we unamtajaje mtukufu humu ndani
 
Ni kocha mwenye majigambo, vitimbi, majivuno na pia hataki ushauri wa yeyote yule. Shuka kitaa Mkuu utasikia tu jinsi mashabiki, wapenzi na wanachama wa timu yetu pendwa wanavyomzungumzia vibaya huyu kocha Sizonje.

Jamani mmeniacha Gizani.sizonje ndo nani
 
Mkuu Sizonje si unamjua majivuno yake!? Hata kwenda kutoa rambi rambi kwa wapenzi, wanachama na mashabiki wa timu yetu pendwa amekataa kwa kuwa yeye ni mtu wa matawi ya juu. Mashabiki wa timu yetu na timu rafiki na timu yetu kwa pamoja tulichanga pesa nyingi sana ili kuwasaidia wenzetu kocha Sizonje kazitia ndani bila woga wala aibu!

Sizonje siamini kama hajaenda kuwapa pole wahanga
 
Ni kocha mwenye majigambo, vitimbi, majivuno na pia hataki ushauri wa yeyote yule. Shuka kitaa Mkuu utasikia tu jinsi mashabiki, wapenzi na wanachama wa timu yetu pendwa wanavyomzungumzia vibaya huyu kocha Sizonje.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nishamjua Ni Jonas Paulo Maziku
 
Nilikuwa nimepanga kusoma tu ila wewe ni wa kujibibiwa. Hivo walioingia mikataba ya miaka 100 siyo hao wanaotupangia tuongozwe na nani ??!! Aliekuwa mkali kuhakikisha nchi inaongozwa na anayemtaka si huyo aliyegawa madini yetu kwa mrahaba wa 3percent tena kwa miaka 100 na ukipinga unakuwa mchochezi na kutafutiwa sababu.

Unamsaidia anayekubali ushauri na hata kukosolewa si anayedai kutokujaribiwa !!.

Watu kulia ni sawa kama watoto wetu hawasomeshwi kwa kigezo chochote tutaipenda je serikali iliyoleta tabaka la wengine wasomeshwe na wengine hapana. TETEA TU LAKINI UKWELI UNAO
 
SIZONJE sijui anapeleka wapi nchi.....

Alafu mbona Sizonje amepewa majina mengi this time?.......

Mala Juma Ponda Mali ,Mala Nyampala,Tembo, Sasa nasikia anaitwa Trump ......

Kuna ukweli juu ya majina ya Shizonje?.......
Mi nilijua sizonje anapeleka team ya mpira kumbe nchi
 
Huyu wa chato ana huluma TRA imevunja record ya makusanyo ya kodi bado wametumbuliwa..bado tu..!! Mda utasema
Dai risiti kwa sababu ndani ya hiyo risiti kuna pesa za serekali....shizonje anaomgea kama tembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…