Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje bado anaongea kama yuko kwenye kampeni.

Sizonje bado ajiamini kama yeye ndie.

Sizonje anaropoka kama kavuta bangi ambayo haijakomaa.
 
 
 
Asante kwa updates mkuu , taarifa zinaonyesha kwamba nusu ya muda wao wanautumia kujaribu kutudukua .
 
Jamani huyu ni Sizonje ni nani???Jina pls nami nichangie
ni kocha wa timu, kocha kiongozi. kama huelewi kasome lugha ya kiswahili ili usome vizuri hii mada yawezekana kiswahili kinakusumbua, hivyo hutaweza changia ipasavyo, mana mada ipo katika lugha kiswahili
 
Ni wapuuzi sana hawa, hii nchi imejaa wanafiki sana, angalia majina ya kinafiki anayopewa raisi, nyie ndio mtasababisha hii forum ifungiwe, endeleeni kumchafua chafua, mwenzenu kafungwa kisa ameota, kufungiwa hii ni issue ndogo sana
ifike point mkue hii forum ni kwa ajili ya kutoa la moyon sasa we kama yanakuuma ukisikia mabaya kaa kimya kuliko kuita wenzio wapuuz kwao limewafika kama bado kwako ni suala la mda ingekua ni mwanafunz uliekosa mkpo usinge sema haya sa iz,ungekosa chanjo hospital usinge uona upuuz wa watu.tuachen unafki na ubinafsi kisa wewe yamekunyookea kusema watu waliish kwa dil lakin chanjo zilikuepo na leo dil hamna na chanjo kwisha nani mjanja hapo? kizur chajiuza kibaya ndo kinapenda kelele.Mungu anawaona.
 
Sizonje kachanganyikiwa anaropoka ropoka ovyo.hii inaonyesha jinsi gani hajiamini
 
mbav
u zangu mie jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…