Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Hii thread imesadifu kipimo cha IQ za watanzania! Huwezi amini hawa ndio intellectual's hapa nchini halafu wameandika pumba namna hii! Yaani mazungumzo yao ya kawaida sana! Kwakweli inasikitisha!
Inasikitisha kuliko kula rambirambi?
 
Wanaolalamika na kulialia ndio waliochanganyikiwa. Na mtalalamasana safarihii mlizoea ujanjaujanja.
 
Wanaolalamika na kulialia ndio waliochanganyikiwa. Na mtalalamasana safarihii mlizoea ujanjaujanja.
Wanaofurahia na kuchekea umaskini unaotukabili wauzoea ujinga ujinga kwani ujanjaujanja hawauwezi.
 
Nisome tena tafadhali.
Mkuu, jina la mtukufu wetu Rais hua halitajwi tajwi hovyo hovyo na nashangaa umeliletaje hapa. Habari zenu za siasa pelekeni hukoo hapa tuna discuss mpira na kocha wetu sizonje utuache tafadhali!!
 
Sizonje naona kapaniki hapa anamtandika kibao mshika ubao wa kubadilishia wachezaji(ms*gwa) eti kisa anachelewa kuonyesha ubao wa kumpiga Sub yule kiungo muongo muongo ambaye anapokea na kugawa pasi.
 
Akillizako ndio za kimaskini, wakati wewe unalialia wenzako tunachangamkia fursa na kuzitumia.
 
Makubwa, kuna mambo huwa yanatokea Tanzania tu.

Kwakweli nawadharau wananchi wanaokaa majimbo ya wabunge wa hivyo hasa wagogo wa Mtera hawa kichwani hamna kitu ni bure kabisa.
Na kuna uwezekano ndio wanaoongoza kwa level ya umaskini...
 
na kocha m'bovu huaribu timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…