Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Bora bodi ya mikopo iwadai tu hela zao maana ni hasara tupu! Yaani huwezi amini hizi ndizo arguments za wasomi wa hili taifa!
Sizonje mwisho wa siku atabaki peke yake.apambane kwa akili yake,kashatibua kila mtu,nae atanyooka tu
 
Tatizo la Sizonje ubishi mwingi na hashauriki!! Timu imemshinda!!!
Kujiuzulu ukocha si aibu, unaweza ukawa ushujaa pia na akaingia ktk rekodi za timu yake na ukanda wake.

Anasajili kwa mbwembwe ila anaishia kutengua usajili kila uchwao.
 
Ww umejuaje ni rais ww ni mchochezi
 
Ni wapuuzi sana hawa, hii nchi imejaa wanafiki sana, angalia majina ya kinafiki anayopewa raisi, nyie ndio mtasababisha hii forum ifungiwe, endeleeni kumchafua chafua, mwenzenu kafungwa kisa ameota, kufungiwa hii ni issue ndogo sana
Umejuaje ni rais tukikupeleka mahakamani utasema umeonewa
 
Mbona Sizonje ana ID yake humu, ni mwenzetu unachopost anakipata direct.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…