Sizitaki Mbichi Hizi!!

wape wape vidonge vyao.....wakimeza wakitema shauri yao....

Mungu kakunyima sura na hata maneno mazuri ehhh...
Wape wape ehhh vidonge vyao...wakimeza wakitema ni shauri lao!

Umenikumbusha huo wimbo Preta...japo mashairi yananipiga chenga!!
 
tuna dada yetu alipotea home siku nyingi
akawa ameolewa huko arusha
baada ya hapo kwa kweli sijui yuko wapi
Du!polen sana,km ni mzima ipo siku mtaonana tu!
Ila jaribun kutangaza hasa redion na magazetini mkiweka na picha mtamuona au kupata japo habari zake!
Babu tusamehe kidogo hapa,ila tunafata nyao zako za kuchakachua!
Utajuaje bado tunaaprisiate ule ubigwa wako wa uchakachuzi!
 
Duuuuuuuuu! aisee umenikumbusha enzi za shule ya msingi ada ya shule sh 20, ile noti moja tu. Ghafla ufisadi ukaanza, ikaja mia nadhani ndo nilomaliza nayo kama ada ya primary school. Ktk shairi hili kwa wengine ni jipya kabisa maana hawajui kuwa mshairi amedesa tu!
 
jamani mbona sielewi kinachoongelewa ktk sredi hii, au ndo kusema nimeignia choo cha kike? na log off
 
jamani mbona sielewi kinachoongelewa ktk sredi hii, au ndo kusema nimeignia choo cha kike? na log off

Hahahaaaa, umeingia cha kike halafu ukakojoa umesimama, oooh! sorry!

Hadithi hii najua kuna wengi wataipita, kwani inawakumbusha mchungu ya kuzikosa ndizi wakaishia kuzzita mbichi, lol
 
Hahahaaaa, umeingia cha kike halafu ukakojoa umesimama, oooh! sorry!

Hadithi hii najua kuna wengi wataipita, kwani inawakumbusha mchungu ya kuzikosa ndizi wakaishia kuzzita mbichi, lol
Aisee! Hapa unazungumzia kukojoa mkojo upi?

Khaaaa!babu vp?
Kwa jibu hili nashawishika kukuuliza km tayari mda huu uko kaunta ya juu?
Kaunta ya juu leo week end huwa napanda saa moja jioni mpaka liamba....... yaani saa kumi na mbili nakuwa nailea mimba ya bibi yenu na kufungua njia then ndo naenda kaunta ya juu.

Kama hujaelewa uliza.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom