Size ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
1.Chukua namba ya kiatu chako....mfano yangu ni 41.
2.Izidishe mara 5
3.jumlisha 50.
4.zidisha mara 20
5.jumlisha 1012
6.halafu toa mwaka ulipozaliwa
Jibu utakayopata namba za mwanzo ni namba ya kiatu chako na namba mbili
za mwisho ni umri wako.

Hii kanuni haiwezi kuleta jibu kwa walio na umri 100 na zaidi.
Then niambie kama nisahihi.
 
1.Chukua namba ya kiatu chako....mfano yangu ni 41.
2.Izidishe mara 5
3.jumlisha 50.
4.zidisha mara 20
5.jumlisha 1012
6.halafu toa mwaka ulipozaliwa
Jibu utakayopata namba za mwanzo ni namba ya kiatu chako na namba mbili
za mwisho ni umri wako.

Then niambie kama nisahihi.

kiatu kipi? Loh!
 
sio mzuri sana kwenye hesabu...ngoja nikuPM namba ya kiatu nnachovaa then unipe majibu...mana hapa jamvini tutaanza kusalimiana.
 
mkuu mbona sio hesabu ngumu kivile...poa we nipm
 
1.Chukua namba ya kiatu chako....mfano yangu ni 41.
2.Izidishe mara 5
3.jumlisha 50.
4.zidisha mara 20
5.jumlisha 1012
6.halafu toa mwaka ulipozaliwa
Jibu utakayopata namba za mwanzo ni namba ya kiatu chako na namba mbili
za mwisho ni umri wako.

Then niambie kama nisahihi.

Hahahaaa genius!
 
duh...kaka much respect me imekuja vilevile! Ungekuwa huku jeshini ningekupigia salute
 
1.Chukua namba ya kiatu chako....mfano yangu ni 41.
2.Izidishe mara 5
3.jumlisha 50.
4.zidisha mara 20
5.jumlisha 1012

6.halafu toa mwaka ulipozaliwa
Jibu utakayopata namba za mwanzo ni namba ya kiatu chako na namba mbili
za mwisho ni umri wako.

Then niambie kama nisahihi.
Hii formula yako inafaa hata kwa mwaka jana?
 
Back
Top Bottom