Siyo Magufuli Tena ni Shein Simiyu?

Siyo Magufuli Tena ni Shein Simiyu?

CHEKI ULIVYO NA MAWZO FINYU......kwa akili yako hivi mwenge ukiondolewa ndio tutaanza kulamba asali nchi nzima???????
Acha mfe njaa kama hamjwezi kutafutq pato halali mkafie mbali mnataka kutunyonya hadi lini,delete what we call the hell uhuru torch
 
Hata daktari shein hakutakiwa kwenda Simiyu maana na yeye ametumia ghalama kubwa from nchi jirani kuja kutuzimia mwenge tena huku kijijini tunako changia maji kisima kimoja na punda.
Ni kweli kutoka Zenji hadi Tanganyika ni gharama sio ghalama
 
Mwaka huu Shein alienda Botswana kumwakilisha Magufuli, unafikir Sheni alikuwa kama nani?
Cheo cha makamu wa pili wa Rais hakipo period...Kwa hiyo Mahiga alivyoenda kumwakilisha Rais Ney york naye alienda kama nani? Your logic is flawed...
 
Cheo hicho ni kivuli, wewe inavyosemekana hujui siasa, so utaniharibia mda nkikufundisha each and everything kuhusu muundo wa serikali Ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa mengi huyajui ndugu
 
Hivi sisi tulio kula posho na mwenge unazimwa kesho du sijuw atatufanyaje maana kunajamaa mmoja ndoo karudisha posho
 
Cheo hicho ni kivuli, wewe inavyosemekana hujui siasa, so utaniharibia mda nkikufundisha each and everything kuhusu muundo wa serikali Ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa mengi huyajui ndugu
Unaongelea protokali. Katika chain of command ya wanaopaswa kukaimu kiti cha Uraisi hayumo. Ila ni mjumbe wa baraza la mawaziri wa muungano. Kiprotokalii anaweza akawa anafuata baada ya makamu wa Rais lakini hakuna cheo cha makamu wa pili wa rais hebu acha umuch know. Wewe politics gani hizo unazojua unafanya assumptions kuhusu mtu ambaye humfahamu teh teh teh
 
Wewe unafahamu.
Kwa mfano itokee Shein ajitenge japo masaa mawili, je huyo Magufuli atakuwa rais wa Muungano?
 
You are shifting the goal post now. Nimekuuliza swali je kwenye chain of command kukaimu uraisi wa muungano yupo baada ya nani? Badala ya kujibu swali unaleta tena hoja nyingine. Sijasema kwamba yeye si muhimu ninachosema ni kwamba yeye si makamu wa pili wa Raisi kama unavyotaka kuaminisha umma..Ilikuwa zamani lakini walishafanya mabadiliko kwenye katiba..
 
Katiba Ya zamani Ilikuwa inasema hivi rais wa zanzibar ndie makamo wa rais wa Muungano,
Baada Ya kufanyiwa mabadiliko ndo anakuwa makamo wa pili (kivuli) ili aweze kuingia katika baraza la mawaziri bila ya kukaripiwa na mawaziri wengine
 
Kiprotokaliii...Bado unarudi pale pale..Hebu kalale tusipotezeane muda...
 
Wewe vipi?
Nani alikujulisha magufuli atakua mgeni rasmi?
Shein ni Rais wa Zanzibar,ni sahihi kuzima Mwenge ,hebu muacheni Magufuli
nadhani wewe sio mfatiliaji wa vyombo vya habari nchini, TBCI imekuwa ikitoa tangazo kwa muda usio pungua wiki tatu kabla ya leo
 
Nimeshangazwa na mabadiliko ya mgeni rasimi katika kilele cha Mwenge wa uhuru, na kuazimisha miaka 17, y kifo cha Mwalimu hapo awali tulijulishwa kuwa mgen rasimi atakuwa MAGUFULI SASA leo tena ghafla eti mgeni rasmi atakuwa Dr sheini, kwa nini amegaili? je haoni umuhimu wasiku ya kesho kwake? je haoni umuhimu wa kuazimisha miaka 17 ya kifo cha baba wa taifa?
bora asiende maana hotuba zake majanga
 
Back
Top Bottom