Siyo Magufuli Tena ni Shein Simiyu?

Siyo Magufuli Tena ni Shein Simiyu?

If President Magufuli is really for Poor Tanzanians he sh'd DELETE/BAN UHURU torch and not this minners post action n decision which have no positive benefits for the time.
 
Maajabu ya nchi ya mwendokasi uhuru wa tanganyika mgeni rasmi wa zanzibar
 
Kumbeeee. Huu ni udhalilishaji Mkubwa ndo mana wageni wameambiwa warudishe posho! Hii inaitwa bora tukose wote.
 
Mwenge hauepukiki! Lazima uangaze amani katika Taifa letu!
Kijana unaroho ngumu kwenye inshue ya mwenge we tu ndo unaonekana kutetea. Au nimmoja wapo wa wanaotakiwa kurudisha hela?
 
Huyo Sheitwan mwepesi dawa yake ni kumzomea mpaka akimbie uwanja.
 
huu ni mwenge wa uhuru wa tanganyika,ulipandishwa kilimanjaro mwaka 1961,sasa rais wa zanzibar atawaambia nini watanganyika?

nafikiri mkuu kawakacha wanamsakama kuhusu ajira
Kamuulize baba enu Nyerere kaburini. Baada Ya Muungano Nyerere aliunda decree Tatu, moja wapo iliamuru kipengele kila kilichoandikwa Tanganyika kibadilishwe na kiandikwe Jamhuri Ya Muungano, ungesema mbele za watu ungechekwa
 
Wewe vipi?
Nani alikujulisha magufuli atakua mgeni rasmi?
Shein ni Rais wa Zanzibar,ni sahihi kuzima Mwenge ,hebu muacheni Magufuli
Hata hivo pale kuna matukio mawili kuzima mwenge na kumbukumbu ya kifo cha mwl nyerere, sasa kuna ubaya gani mh shein akifanya hayo? Au nyerere n wa tanganyika pekee?
 
Hivi mwenge huwa unakimbizwa na zanzibar? Au sio swala muungano
 
If President Magufuli is really for Poor Tanzanians he sh'd DELETE/BAN UHURU torch and not this minners post action n decision which have no positive benefits for the time.
Mi nachoona huu Mwenge ni li kitu lililoota mizizi miaka na miaka, sasa kuling'oa at once ni ngumu.
Anachofanya Juma ni kulikata mizizi yake taratibu, nina uhakika mpaka Juma anaondoka madarakani hili lidude litakua Makumbusho
 
Kumbeeee. Huu ni udhalilishaji Mkubwa ndo mana wageni wameambiwa warudishe posho! Hii inaitwa bora tukose wote.
Mi naona miujiza tu labda ishu ya kuzima hiyo tochi inawahusu watu wa simiyu peke yao, hivyo mgeni rasmi angekua RC wa Simiyu
 
Hivi ng'wenge ushuru unazimwa kwa kuupuliza na mdomo? Pengine hataki kunuka mamoshi ya li-ng'wenge la ushuru
 
If Magufuli is really for Poor Tanzanians he sh'd DELETE/BAN UHURU torch and not this minners post action n decision which have no positive benefits for the time.
CHEKI ULIVYO NA MAWZO FINYU......kwa akili yako hivi mwenge ukiondolewa ndio tutaanza kulamba asali nchi nzima???????
 
Hivi ng'wenge wa ushuru unazimwa kwa kuupuliza na mdomo? Pengine hataki kunuka mamoshi ya li-ng'wenge la ushuru
 
Ka ugonjwa cha kulalamika kanaendelea kusumbua watu.

Hivi hapo tatizo liko wapi.
 
Hata daktari shein hakutakiwa kwenda Simiyu maana na yeye ametumia ghalama kubwa from nchi jirani kuja kutuzimia mwenge tena huku kijijini tunako changia maji kisima kimoja na punda.
 
Back
Top Bottom