Siyaelewi makato ya benki ya CRDB

Hapa kuna kitu mnaficha au haukijui kama una card ya visa mastercad kuna hela mnakata sijui ya nini kama 6000 hivi
Niliwahi kuwauliza kama tembo card inamakato kila mwezi wakakataa badae nikaambiwa na mtu eti kuna service ukitumia kwenye internet nikaacha kutumia hadi leo maana NIKATWE service ya internet, nikatwe kutoa pesa, nikatwe kuangalia salio, NIKATWE kupokea pesa kutoka mkoani au nje ya nchi lol ntasitisha huduma maana hela nyingi sana nawatafutia wao sio siwezi
 
Bora MPesa aise....
 
Nilipewa ka cheki nikatoe pesa, CRDB wakanikata pesa mie badala ya mwenye akaunti. Nilimind sana. Liakaunti lao nimelizika mwaka na kitu sasa...
 
Hata NMB nilitoa laki 9 ikakataa nikatoa laki tano ikakataa ilibidi nitoe laki 3 mara 3 nikajiuliza kwanini kumbe wameweka kibiashara ili wapate ile service fee ya kutoa.
Laki 4 kiwango cha Juu ila hata hivyo bado ungetoa Mara 3,
 
Simu banking itumie tu kuangalia salio. Usitoe hela huko utafilisika fasta. Labda kama umepata shida isiyowezekana kwenda kwenye ATM.

Baada ya kadi kuexpire,Mwaka wa tano huu natumia sim banking kuhamisha mshahara wangu kutoka CRDB kuja kwenye tigopesa yangu,sijawahi kuona kama nakatwa kiviiiile
 
Ntahitaji mnishauri benki ipi nzuri..kwa kufanya seving ya hela bila makato..nataka kufungua seving account
 
Du pamoja sana
 
Ahsante kwahiyo kumbe SimBanking kumbe ndo kutoa hela kwa njia ya ATM mashine mkuu
hamna kuna kutoa ela kwa ATM na kuna kutoa ela kwa sibankng na kuna kutoa ela cash ndani ya bank hapo kila service ina makato yake wakati wa kutoa ela
 
Ntahitaji mnishauri benki ipi nzuri..kwa kufanya seving ya hela bila makato..nataka kufungua seving account
Inategemea unataka account ya aina gani na malengo ya yako ya kusave hela ni ya muda gani. Kwa ushauri wangu kama wewe ni mwanaume nenda pale crdb waambie wakufungulie account inayoitwa DHAHABU a/c hii unajiwekea malengo ya kusave bila kutoa angalo kiasi cha Tsh 50,000 kila mwezi, account hii haina makato ya mwezi, kama nakumbuka riba yake kwa mwezi ni 3.5% na kwa wanawake kuna MALKIA A/C its applies the same.
 
Nilikuwa natumia CRDB kipindi nipo chuo kupokelea boom na kufanya saving, walikuwa wanaikata makato makubwa bila huruma niliwafuata mara kadhaa majibu yao ni makato ya kawaida tu, nilipoachana na masuala ya boom ikawa mwanzo na mwisho kukanyaga CRDB.
Afadhali nitumie international bankers huduma yao ni ya kueleweka
 

Umesema ulisoma chuo? Oky.
 
Ok!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…