Esayi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 355
- 146
JAMAN WANA JF
Mimi nimejiunga na Bank ya CRDB ni mteja mgeni kabisa kwa maswala ya kibank.
Shida yangu ni hyo ya makato yao
Nimefungu Acount ile yenye ki card kimeandikwa TEMBO CARD.
sasa nikaweka 45000 kama kianzio kuweka pesa badala ya kibubu.
Leo nimeenda kutoa 10000 kwa mala ya kwanza ili nione kama makato yao yako vipi kama naweza kuyamudu
Nimeangalia salio kwa njia ya Simbanki naona kuna 33702
Maana yake wamenikata 1298
Swali langu kama nawe unatumia Acount kama yangu
Hili kato ni la mwezi mzima au mwisho wa mwezi wanakata tena
Alafu kila nikitaka kutoa pesa KWA ATM MASHINE WANAKATA TENA AU MPAKA MWEZI UUISHE
NAWASILISHA
MUNGU AWABARIKI NYOTE MTAKAO NIJUZA VYEMA
AMEN