FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,392
- 4,468
Sasa wakiingia wake jamaa kuchukua flati si wataziona? au utawaambia wazee si mmejia flati, sepeni basi.Kila mwisho wa mwezi crdb wanakata fedha kutoka kwenye akaunti yako,ukidraw kwenye ATM wanakata,ukiangalia kwenye sim banking wanakata,weka fedha nyumbani we,viela vidogo hivyo, utaumizwa benki watakuumiza ukiweka milioni 100,unaitwa kujieleza umezitoa wapi karaha yote ta nini? ,weka nyumbani
Labda ungeshauri kabisa huko ndani tuwekeje na zibaki salama.
Ila kweli ishu ya benki usiweke pesa utakazokuwa unachukua mara kwa mara, kuna siku utacheki salio hutaamini unachokiona.