'Six Park' Warembo Wanapagawa!!

'Six Park' Warembo Wanapagawa!!

Hizo utapiga tiz mpaka mwenyewe ujionee huruma ndo zije!
 
wenzako wanawaza jinsi ya kufukua GESI wewe unawaza kufukua mademu
 
Park ya gari au hebu msaidieni huyu kilaza

Join Date : 9th September 2013

Posts : 449
Rep Power : 391
Likes Received : 52

Likes Given: 0



Ugeni nao ni sometime ni ushamba,
Si lazima wote tu-comment, tunaweza pita kama guests tu, tuliwa tunasoma na kuyaelewa mazingira!
 
ABS ! Park ya manyara au serengeti?

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Pesa ndo kila kitu,piga six pack lako halafu ufulie uone utakachokivuna

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Heee!!!!!!! Huku kwetu wakikuona na hayo ma six pack wanajua we ni mkata mkaa tu wasichana watakukimbia tehhtehetehehehee
 
six park ndio zipi
ulijuaje kma mwanamke wako anamtamani?
Au umeanza u cameroon
 
Hivi Jamani Kwa Nini Six Park Zinawadatisha Sana Wanawake? Kuna Mshkaji Mmoja Ivi Yeye Ni Rafiki Yangu Sana Ila Sasa Sitamani Kabisa Kuwa Nae Kama Nipo Na Demu Wangu...Hivi Majuzi Tulienda Beach Ku Refresh Mind Ila Dah Sikuwa Na Raha Kabisa Mshikaji Yeye Yupo Na Demu Wake Ila Nashangaa Demu Wangu Alikuwa Anamtamani Sana Mshkaji Wangu Jinsi Alivyokata Na Siyo Demu Wangu Tu Madem Kibao Tena Wengine Wanashindwa Kuvumilia Wanamfata Mshikai Ili Washike Kifua Chake Na Kupiga Naye Picha Kwa Ujumla Mshkaji Alikuwa Anaosha Kinoma NITAFANYAJE NA MIMI NIZIPATE???? HEEEEEELP

sasa we fanya hivi... si unataka kupapatikiwa?

saka hela kwa sana, kuwa nazo nyingi sana,

then anza kuzigawa kama papaa msoffe...

mbona hata vipofu watakujua!!!!
 
Back
Top Bottom