'Six Park' Warembo Wanapagawa!!

'Six Park' Warembo Wanapagawa!!

Oppotunity

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
38
Reaction score
12
Hivi Jamani Kwa Nini Six Park Zinawadatisha Sana Wanawake? Kuna Mshkaji Mmoja Ivi Yeye Ni Rafiki Yangu Sana Ila Sasa Sitamani Kabisa Kuwa Nae Kama Nipo Na Demu Wangu...Hivi Majuzi Tulienda Beach Ku Refresh Mind Ila Dah Sikuwa Na Raha Kabisa Mshikaji Yeye Yupo Na Demu Wake Ila Nashangaa Demu Wangu Alikuwa Anamtamani Sana Mshkaji Wangu Jinsi Alivyokata Na Siyo Demu Wangu Tu Madem Kibao Tena Wengine Wanashindwa Kuvumilia Wanamfata Mshikai Ili Washike Kifua Chake Na Kupiga Naye Picha Kwa Ujumla Mshkaji Alikuwa Anaosha Kinoma NITAFANYAJE NA MIMI NIZIPATE???? HEEEEEELP
 
six park hailipi bili kijana, watu na vitambi vyao kama mpira na bado wanachukua watoto wakali
six park bila hela kwashakoo tu.
uliza kama kapteni wa mjengoni ana six park ila LULU kafa.

nenda gym kutengeneza six park wenzio wanatafuta hela.
 
labda kama ana 6 park na mshiko,
siku iz mwanaume hela sura tunavumiliana,,,bwaha ha ha ha
we tafuta mapene,achana park sita.
 
Opportunity do push-ups, crunches everyday and stop consuming starch and limit your portions. Chicks dig well-built dudes. Ukiwa na mpunga it's a plus.
 
ugonjwa wangu n karbu marafiki zangu wote tunapenda. Sio siri ina raha yake cz mwanaume unaonekana mkakamavu na mwenye kuweza mengi. Nachukua pesa ya mwenye kitambi naenjoy life na mwenye six pack uhuhuuuuu acheni uzembeee zoezi muhim kwa mwanaume na kiafya pia. My advice nenda gym mwalim wa mazoz atakuelekeza cha kufanya. Mwanaume gani unakua mrojorojo kama kimama chenye mimba uhh
 
mimi wa six pack wala simtaki,wengi wao wanajipenda wao too much,bora yule wa kawaida tu.
 
nilifikiria six park ya mtandao kumbe aagh ngoja nipite kando.Ila mnamaanisha nn hapa ujue sijaelewa kitu.
 
watu bana? kila mtu ana mtizamo wake! ww waulize wadada humu! kuna watakaosema mkwanja mpango mzima and believe me hao ndo asilimia kubwa, wengine watakwambia mm wacha Mungu, wengine kama ulivyosema na pia itategemea class ya wasichana! believe msichana mwenye heshima zake, educated hawezi omba apige picha na six park! hao watakuwa watoto wa secondary!
 
ugonjwa wangu n karbu marafiki zangu wote tunapenda. Sio siri ina raha yake cz mwanaume unaonekana mkakamavu na mwenye kuweza mengi. Nachukua pesa ya mwenye kitambi naenjoy life na mwenye six pack uhuhuuuuu acheni uzembeee zoezi muhim kwa mwanaume na kiafya pia. My advice nenda gym mwalim wa mazoz atakuelekeza cha kufanya. Mwanaume gani unakua mrojorojo kama kimama chenye mimba uhh

then virusi unapeleka kotekote! pesa ya mtu ina masharti eti! fanyeni kazi mtafute pesa zenu ndio maana mnakuwa watumwa WA WANAUME!
 
Hivi Jamani Kwa Nini Six Park Zinawadatisha Sana Wanawake? Kuna Mshkaji Mmoja Ivi Yeye Ni Rafiki Yangu Sana Ila Sasa Sitamani Kabisa Kuwa Nae Kama Nipo Na Demu Wangu...Hivi Majuzi Tulienda Beach Ku Refresh Mind Ila Dah Sikuwa Na Raha Kabisa Mshikaji Yeye Yupo Na Demu Wake Ila Nashangaa Demu Wangu Alikuwa Anamtamani Sana Mshkaji Wangu Jinsi Alivyokata Na Siyo Demu Wangu Tu Madem Kibao Tena Wengine Wanashindwa Kuvumilia Wanamfata Mshikai Ili Washike Kifua Chake Na Kupiga Naye Picha Kwa Ujumla Mshkaji Alikuwa Anaosha Kinoma NITAFANYAJE NA MIMI NIZIPATE???? HEEEEEELP

Park ya gari au hebu msaidieni huyu kilaza
 
Back
Top Bottom