'Six Park' Warembo Wanapagawa!!

'Six Park' Warembo Wanapagawa!!

Join Date : 9th September 2013

Posts : 449
Rep Power : 391
Likes Received : 52

Likes Given: 0



Ugeni nao ni sometime ni ushamba,
Si lazima wote tu-comment, tunaweza pita kama guests tu, tuliwa tunasoma na kuyaelewa mazingira!

mkuu Twilumba, nafahamu kabisa wafahamu maana ya mtu kuwa great thinker...!! hii principle hujaitumia hapa!

je, mtoto akinye kiganja chako, waweza kukikata na kukitupa?

kwa kweli kwa jinsi hii, hujamtendea haki wema_1......

mfunze jinsi ya kutoa mawazo ya kisomi!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom