Siwezi kumsamehe huyu.

Siwezi kumsamehe huyu.

Ndim

New Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1
Reaction score
6
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
 
Hivi siku hizi JF imekuwa ni FB ya post personal issues???

Haya endelea kumtafuta mbaya wako.
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.

nipo UKEREWE NJOO ,UMEJIANDAA VYA KUTOSHA.
WEWE SI ULINIZINGUA?
WANAUME HUWA HATU CHULIWI.
MWANANGU ANAITWA JAPHETI.
 
hasira hasara,,,,, na yeye amesoma hii thred yako,,, kaa chonjo asikuwahi....
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.

Sasa itakusaidia nini? Ndio maana hakukuoa huna sifa ya kuwa mke. Jichunguze kwa nini alikuacha na kuamua kuoa mwingine.
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
tulia tu mkuu utapata wakukuliwazaukilipa kisasi haisaidii katu jitume tu.. au ni pm
 
Pole mummy,..hasira itakuumiza,jichanganye na watu,get urself another man(uwe careful ths tym),fanya maendleo binafsi kw ujumla,there is no better revenge than happily moving on,sio rahisi aisee,bt mi nimetoka huko ndo mana nakupa ushuhuda,kinachofuata ni meneja mmoja hvi naona kashaanza kujileta,he's way better than my x
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.

revenge wont do anything my dada..... KARMA will!
 
pole mkuu na nakuunga mkono........ lakini kwa sababu ana watoto mwache usije kuwa chanzo cha watoto wake kupata shida please,...............forgive him please kwa sababu ya watoto tu......................!!!!!!!!!
 
Nelson mandela ; No one is born hating another person because of the color of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.”

Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
 
say no to resentment,
move foward like Obama campaign yoooooo
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.

baba yetu uliye mbinguni..........utusamenhe makosa yetu kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.
 
Kisasi si juu yetu mdada,mwachie mungu usimshkilie mtu kwa moyo wako hautafanikiwa...msamehe tu jamanii,kumbuka kila muosha huoshwa..!
 
Back
Top Bottom