Siwezi kujizuia kuuliza

Siwezi kujizuia kuuliza

Dah! Kumbe JF members wote ni much know! Jamaa anajuta kimoyomoyo! Nadhani mkijikite kwenye mada ya msingi,kuuliza siyo ushamba! Sasa mnaanza kuhuisha mada brand za simu! Nadhani huo nao ni ulimbukeni!
 
Huo ni unyanyapaa tu, ubaguzi usio na tija yoyote. Jamii ya watu wenye kujitambua humfanya sawa na watoto wa hapo. Hutoa huduma zote muhimu bila ubaguzi.

Vipi mkuu hiyo picha ina uhusiano gani na mada, au huyo ndio mnyanyapaliwa?
Kuweni na shukran nyie ndo mnasemaga uzi bila picha haunogi
 
Et wananzengo humu ndani hii tabia au utaratibu au mazoea ya baadhi ya wanajamii kuishi na watoto Wa ndugu zao ikiwa wazazi wao wamepoteza maisha halafu anapokuj mgen namna ya kumtambulsha unasikia anasema "huyu ndo mtot Wa marehem (k) " umemsahau mimi watoto Wang ni hawa""
Nin maana yake naomba msaadaView attachment 954754
First year kapata boom kanunua smart foni
 
Mleta mada huku watu wanaficha sura na majina yao ili tuwe huru kuporomoa uharamia nchi hii.. Utanyakwa ohoo
 
Back
Top Bottom