wasukuma kwa ushamba hawajamboSana sana akaribie JF
NgoshaaaSio JF tu...huyo anaonekana ni mgeni kabisa kwenye internet pia anaonekana ni wa nyumbani.
Anyway tuwashukuru Wachina..kwa kutuletea TEKNO...mpaka watu wa nyumbani wanaingia JF
wasukuma kwa ushamba hawajambo
Dharau hizoSio JF tu...huyo anaonekana ni mgeni kabisa kwenye internet pia anaonekana ni wa nyumbani.
Anyway tuwashukuru Wachina..kwa kutuletea TEKNO...mpaka watu wa nyumbani wanaingia JF
Ni mimi ndio sijaelewa au?? shida ya mtoa mada ni kuweka picha au mada aliyoitoa?
Pia nauliza hua kuna shida gani mtu akiweka picha yake HALISI jamii forum??
mmmhDharau hizo
Yaaani. Sema miaka 10 hii watabadilika Chattle pakiwa kama Daaaar
Sikujua kama jf ni mtandao wa siri aiseee,wala haina tatizo, japo haijazoeleka sababu jf ni mtandao uliojaa usiri, kwa hiyo ukiweka mambo hadharani unaonekana mgeni na mshamba.
Nakumbuka uliwahi kutuma picha ya BD yako na ukakiri nibyako, wala sio vibaya
Jf ni jukwaa huru ambalo watu hujiunga na kutumia I'd fake ili iwe rahisi kutoa maoni kwa uwazi na huru zaidi. Hata hivyo ukitaka ujulikane unawafuata mods inbox wanakupa utaratibu ili uwe verified user, hata kikitokea chochote wajue wanamwanachama wa aina gani na anapatikana wapi kwasababu ni verified.Ni mimi ndio sijaelewa au?? shida ya mtoa mada ni kuweka picha au mada aliyoitoa?
Pia nauliza hua kuna shida gani mtu akiweka picha yake HALISI jamii forum??
Yesmmmh
Hebu soma tena vizuri maandishi yako kwa utulivu kabisa halafu niambie umeelewa nini?Jf ni jukwaa huru ambalo watu hujiunga na kutumia I'd fake ili iwe rahisi kutoa maoni kwa uwazi na huru zaidi. Hata hivyo ukitaka ujulikane unawafuata mods inbox wanakupa utaratibu ili uwe verified user, hata kikitokea chochote wajue wanamwanachama wa aina gani na anapatikana wapi kwasababu ni verified.
Otherwise anayejiexpose kwenye jumba hili bovu ni hamnazo.
Kuna watu wanadharau sana..wenye tecno hawana haki ya kuwa jf
Kua wapi?Mkuu mbona wewe upo na hatujakudharau
Jf kila mtu matawi ya juu dada, wenye Tecno na Itel inabidi tuombe jukwaa letu la kucomment.Yes
Kuna watu wanadharau sana..wenye tecno hawana haki ya kuwa jf...upumbavu