Siwezi kujizuia kuuliza

Siwezi kujizuia kuuliza

JF ameambatanisha na picha Kama Facebook
 
Jf ni jukwaa huru ambalo watu hujiunga na kutumia I'd fake ili iwe rahisi kutoa maoni kwa uwazi na huru zaidi. Hata hivyo ukitaka ujulikane unawafuata mods inbox wanakupa utaratibu ili uwe verified user, hata kikitokea chochote wajue wanamwanachama wa aina gani na anapatikana wapi kwasababu ni verified.

Otherwise anayejiexpose kwenye jumba hili bovu ni hamnazo.
Mkuu nipe tofauti wanayoitumia Mods kutoa vyeo kama hivi kwa Members.

1.Jf-Member
2.Expert-Member
3.Verified User
 
Yes

Kuna watu wanadharau sana..wenye tecno hawana haki ya kuwa jf...upumbavu
Sio dharau ila TAFITI zinaonesha kua wenye TECNO ndio wanaongoza kwa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.

Ni aghalabu kumkuta mtu anayemiliki 'Flagship' ya Samsung anapost shuzi kwenye mitandao.

Truth be Told,
 
Facebook senior user
Huyo hajafikia levo za senior bado amateur sana...

si unaona hata uandishi wake tuu unajua bado hajaweza kuimaster keyboard vizuri let alone kuumaster mtandao wa facebook.

Ukitaka kujua ni amateur bado cheki anaita wadau wa JF "wananzengo" badala ya kutuita "WAKUU"....

Na aminini kua siwezi kusema ni dharau kutuita sisi wananzengo badala ya wakuu ila nachomtaka atengue kauli yake.
 
Et wananzengo humu ndani hii tabia au utaratibu au mazoea ya baadhi ya wanajamii kuishi na watoto Wa ndugu zao ikiwa wazazi wao wamepoteza maisha halafu anapokuj mgen namna ya kumtambulsha unasikia anasema "huyu ndo mtot Wa marehem (k) " umemsahau mimi watoto Wang ni hawa""
Nin maana yake naomba msaadaView attachment 954754
Hiyo saa mbona umeigeuza sasa unaisomaje
 
Dume Jike. Umesema huna cha kuficha na hivyo huyo kwenye DP ni wewe..na huyo kwenye DP anaonekana kama Dume Jike.

Sasa ndo nauliza je Wewe ni Dume Jike??
Dume Jike maana yake nini?

Kwenye dp namuona culture gal sijamuona Dume Jike, ufafanuzi plz.
 
Back
Top Bottom