Siwezi kujizuia kuuliza

Siwezi kujizuia kuuliza

Dume Jike maana yake nini?

Kwenye dp namuona culture gal sijamuona Dume Jike, ufafanuzi plz.
Vp ulikua unasomea diploma maalumu UDom nini kabla ya John Pombe kuwatimua? Unaonekana mgumu kuelewa.

Dume Jike ni kwamba una hormones nyingi za TESTOSTERONE badala ya kua na ESTROGEN za kutosha.

Kama mpaka hapo hujaelewa nakuachia asaimenti!
 
Kiukweli niliishia la pili B, ningefika levo za diploma ningeshukuru Mungu, bado umeniacha homons za mtu unazipima kwa kipimo gani? kwa macho, kwa hisia au??

Ngoja na mimi nikupe quiz, kagoogle maana ya Tomboy halafu uje hapa tujadili.
 
Huo ni unyanyapaa tu, ubaguzi usio na tija yoyote. Jamii ya watu wenye kujitambua humfanya sawa na watoto wa hapo. Hutoa huduma zote muhimu bila ubaguzi.

Vipi mkuu hiyo picha ina uhusiano gani na mada, au huyo ndio mnyanyapaliwa?
nkweli ni unyanyapaa... Watoto watajisikia vibaya
 
Kiukweli niliishia la pili B, ningefika levo za diploma ningeshukuru Mungu, bado umeniacha homons za mtu unazipima kwa kipimo gani? kwa macho, kwa hisia au??

Ngoja na mimi nikupe quiz, kagoogle maana ya Tomboy halafu uje hapa tujadili.
Kwenda kugoogle maana ya tomboy itakua nia matumizi mabaya ya resource. Yani kisa umeonq kichaka ndo utake kunya??? No way

Na Lazima nikuache tu si umesema wewe ngumbaro bana anyway

Kwa muonekano wako wewe kwenye hiyo dp huitaji kufanya vipimo vya damu kujua your testosterone levo......

mana kwa jinsi ulivyo tu unaonekana una TESTOSTERONE nyingi kushinda ESTROGEN ambavyo sasa vinakufanya utoke kua JIKE kua DUME au NUSU DUME....

ndo tunawaitaga watu kama nyie maDUME JIKE...yani ni hybrid ya jike/dume.

Ungekua mwanaume afu ESTROGEN zimezidi huku una TESTOSTERONE chache tungekuita "MCHELE MCHELE"
 
Huyo hajafikia levo za senior bado amateur sana...

si unaona hata uandishi wake tuu unajua bado hajaweza kuimaster keyboard vizuri let alone kuumaster mtandao wa facebook.

Ukitaka kujua ni amateur bado cheki anaita wadau wa JF "wananzengo" badala ya kutuita "WAKUU"....

Na aminini kua siwezi kusema ni dharau kutuita sisi wananzengo badala ya wakuu ila nachomtaka atengue kauli yake.
😀😀😀msamehe anajifunza,nadhani hatarudia tena mkuu
 
Sio dharau ila TAFITI zinaonesha kua wenye TECNO ndio wanaongoza kwa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.

Ni aghalabu kumkuta mtu anayemiliki 'Flagship' ya Samsung anapost shuzi kwenye mitandao.

Truth be Told,
Sawa mtumiaji wa Samsung umeeleweka
 
Kiukweli niliishia la pili B, ningefika levo za diploma ningeshukuru Mungu, bado umeniacha homons za mtu unazipima kwa kipimo gani? kwa macho, kwa hisia au??

Ngoja na mimi nikupe quiz, kagoogle maana ya Tomboy halafu uje hapa tujadili.

Kula gwala
 
Kwenda kugoogle maana ya tomboy itakua nia matumizi mabaya ya resource. Yani kisa umeonq kichaka ndo utake kunya??? No way

Na Lazima nikuache tu si umesema wewe ngumbaro bana anyway

Kwa muonekano wako wewe kwenye hiyo dp huitaji kufanya vipimo vya damu kujua your testosterone levo......

mana kwa jinsi ulivyo tu unaonekana una TESTOSTERONE nyingi kushinda ESTROGEN ambavyo sasa vinakufanya utoke kua JIKE kua DUME au NUSU DUME....

ndo tunawaitaga watu kama nyie maDUME JIKE...yani ni hybrid ya jike/dume.

Ungekua mwanaume afu ESTROGEN zimezidi huku una TESTOSTERONE chache tungekuita "MCHELE MCHELE"
Lol, you tried so hard, i'm very cool and humbled well i will give you a clue since is my place, i am not a tomboy call me a stud tho i don't buy labels.... teh teh
 
Back
Top Bottom