Siwezi kujizuia kuuliza

Siwezi kujizuia kuuliza

Sio JF tu...huyo anaonekana ni mgeni kabisa kwenye internet pia anaonekana ni wa nyumbani.

Anyway tuwashukuru Wachina..kwa kutuletea TEKNO...mpaka watu wa nyumbani wanaingia JF
Naomba heshma ifuate mkondo wake ..ko umeon nongwa kucomment bila kutype Tecno..mkuu chunga sana keypad yako itakugharim..Ohoo!!
 
Baada ya miaka kama miwili mtu anakuja kufukua kaburi la huu uzi sijui utajisikiaje.

Mungu ni mwema kwakweli
 
Back
Top Bottom