Siwezi kuamini nilichoona ziara ya Mbowe mkoani Kagera!

Siwezi kuamini nilichoona ziara ya Mbowe mkoani Kagera!

ahsante bro,aluta continua maccm eg machemba na mannape sijui wataishi kwenye
jamii gani Chadema tukichukua ikulu
  • OH?// GOD:help: US.

hope nawe utafanya kazi hiyo kwa uwezo wako maana hili zoezi la uhamasishaji likifanyika vizuri mwishoni tutakaofaidika ni Watanzania tulio wengi japo sio wote.
Khaa!! :shocked: :tape:
 
Ni wehu tu na wendawazimu kumlinganisha Mbowe na MHeshimiwa Rais Jakaya Kikwete.

Re - write please, sijakuelewa, nani zaidi kati ya Mbowe na Kikwete? Tuitishe mkutano leo Njombe, viwanja hivi asimame Mbowe na Viwanja vingine asimame Kikwete akiwa kwenye jezi yake ya kijani? Nani atajaza watu na unafikiri ni kwa nini?
 
Wananchi wanajitambua kwa sasa wanachokijua ni chadema ndani ya mioyo yao
 
Hiyo ni People's Power kaka, tuombe mungu tuu daftrari la wapiga kura liboreshwe halafu tuone 2015 mabadiliko ya kiuchumi na kijamiii, watu wamechoka kaka!!!
 
thread nyingine hata hazifai kuitwa thread,

Thread zote zenye ujumbe wenye maslahi ya nchi na wananchi, ccm huwa hawapendi kuziita ni thread.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
thread nyingine hata hazifai kuitwa thread,

Wewe unapendekeza ziitwe nini? Kwani siyo taarifa kama taarifa nyingine? Kama unachomwa moyo, meza wembe mchezo uishe.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Figure out yourself unless you are blind with numbers! For almost two years that you have been here you have thanked(giving likes) 11 times? Is that how appreciative you are to others? ...... even your own cronies from Lumumba Street? Come on!
ok so giving likes is being serious?? now i understand, you sir, are very serious!!! being one among the longest serving members of JF doesn't make you very serious than others, you might have many posts many of which are only craps,it is the logical content that counts and not numbers..
 
Thread zote zenye ujumbe wenye maslahi ya nchi na wananchi, ccm huwa hawapendi kuziita ni thread.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

kuwakusanya watu na kuwadanganya, ndio maslahi ya nchi au ya kwenu??
 
ok so giving likes is being serious?? now i understand, you sir, are very serious!!! being one among the longest serving members of JF doesn't make you very serious than others, you might have many posts many of which are only craps,it is the logical content that counts and not numbers..

Ha ha haa.....say that to the birds.........na sijasemea rep power ambazo nimepewa na MODS!....again you are the least serious member here basing on your posts and comments....period and goodbye!
 
Ha ha haa.....say that to the birds.........na sijasemea rep power ambazo nimepewa na MODS!....again you are the least serious member here basing on your posts and comments....period and goodbye!

sawa babu, salimia bibi
 
Ni kweli kabisa Mkuu,huwezi kumlinganisha mtu makini kama Mbowe na kirais Dhaifu kama kiwete sijawahi kuona kiongozi

wa nchi mjinga kama huyu!...

Ni wehu tu na wendawazimu kumlinganisha Mbowe na MHeshimiwa Rais Jakaya Kikwete.
 
Back
Top Bottom