Siwezi kuamini nilichoona ziara ya Mbowe mkoani Kagera!

Siwezi kuamini nilichoona ziara ya Mbowe mkoani Kagera!

Tshvangilai wa Zibwabwe na Laila wa Kenya ilikuwa hivyo hivyo na mwishowe wakaambulia patupu. vijana wameshasema rais wetu ni January Makamba.
 
Ukweli ni kwamba Mtu yeyote anayejitambua na Mwenye akili timamu hawezi kuishabikia CCM.
ila anayejitambua kwa viroba pekee huishabikia chadema, hapo umenena kamanda
 
Ni wehu tu na wendawazimu kumlinganisha Mbowe na MHeshimiwa Rais Jakaya Kikwete.
Kwa mwana intelijensia ya kulinda chama badala ya nchi ni wendawazimu lakini kwa wanamageuzi si ulinganishi bali ni zaidi ya..
 
Nimejaribu mara nyingi kuwaambia viongozi wa chama jinsi mkoa wa Kagera ulivyo potential kwa mabadiliko sijui kama huwa wananielewa. Nafurahi kusikia pengine watakuwa wamejionea na watachukua hatua!
 
Naungana na huyo mama.
MUNGU WALINDE VIONGOZI HAWA WASIDHURIKE NA CHOCHOTE.
Amen
 
hata mimi nimejisikia faraja kubwa kuona watu wanaikubali CDM, waume kwa wamama, watoto kwa vijana- Nimetafakari hali wazee hao wanaoona na kuamua hata kuwaombea viongozi wa CDM.
 
Januari Makamba Mbona atasubiri sana, Kuukwaa Urais wa Tanzania si kihivyo wandugu. Amuulize mwenzie Lowassa
 
niliona sana pale viwanja vya Mayunga almaarufu uswahilinikusema kweli ni sooo na nzuri kuliko akina mama wametia sana fora

Hongera sana makamanda!!
 
Muleba mkutano ulianza saa tatu asbh pamoja na kuwa muda wa ibada kwa wakristo lakini kwa mara ya kwanza uwanja wa redcross ulijaa na kutema. Baada ya mkutano kumakizika watu walianza kujiuliza kuwa mbona kikwete alipokuwa fatuma watu waligoma kwenda kumsikiliza? matokeo yake wakawa wanamsikiliza kwenye redio. Kweli magamba kwisha kazi
 
Back
Top Bottom