Siwezi kuamini nilichoona ziara ya Mbowe mkoani Kagera!

Siwezi kuamini nilichoona ziara ya Mbowe mkoani Kagera!

Wana-CCM wasivyo na SONI watakwambia waliohudhuria mikutano ni wale wenye uraia wenye utata. Wanafanya hivyo kwa kuogopa kurudishwa makwao CCM ikiendelea kutawala.
 
biharamulo mkoani Kagera, ni balaaaaaa.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376916337704.jpg
    uploadfromtaptalk1376916337704.jpg
    60 KB · Views: 164
  • uploadfromtaptalk1376916427885.jpg
    uploadfromtaptalk1376916427885.jpg
    51.9 KB · Views: 150
Tshvangilai wa Zibwabwe na Laila wa Kenya ilikuwa hivyo hivyo na mwishowe wakaambulia patupu. vijana wameshasema rais wetu ni January Makamba.

Pole sana!
Anagombea kwa mlango upi?!
CCM au huru!
Hao waliomtaka ni vijana wa CCM-wanakula na kuvaa CCM!
Kwa mtu mwenye akili ya kutosha hawezi kutamani Rais atoke CCM!
 
thread nyingine hata hazifai kuitwa thread,

M4C imeendelea kuzaa matunda,Misenyi watu walifunga bara bara ya Mtukula - Bukoba kwa masaa kadhaa kutokana na wingi wa watu. Lakini badala ya wasafiri kukasilika na wao walijiunga kusikiliza hotuba za viongozi!
 
Kila mtz ana haki ya kusema kilicho moyoni hata kama ni pumbaaaa....
 
Ikumbukwe ziara hii imefanyika wiki kadhaa baada ya Mwenyekiti wa Ccm taifa (Kikwete) na timu ya mawaziri kumaliza ziara yao hapa!

Wakati wa ziara ya Kiwete watu walisombwa kwa marori na kulazimisha shule kufunguliwa j,mos na j,pili ili kuongeza idadi kwenye mikutano.

Ziara ya Mbowe watu walikodi magari wenyewe kutoka vijijini mbali kufuata mikutano. Mkutano mmoja tu wa Karagwe taarifa niliyopewa na katibu wa jimbo hilo leo, ni kuwa watu waliosaini karatasi za maoni ya chama kuhusu katiba ni 5,811 kwenye mkutano mmoja.

Wanawake sasa wanakuja mstari wa mbele kwenye mabadiliko, nilishuhudia akina mama na wasichana wakianguka wakijaribu kuwagusa tu viongozi wakati wanaingia na kutoka kwenye mikutano. Kwenye mkutano wa Karagwe wasichana ndio waliongoza kwa kuvaa skafu na kofia za Chadema.

Misenyi watu walifunga bara bara ya Mtukula - Bukoba kwa masaa kadhaa kutokana na wingi wa watu. Lakini badala ya wasafiri kukasilika na wao walijiunga kusikiliza hotuba za viongozi!

Katika mkutano wa Kyerwa mama mmoja wa makamo aliangua kilio ndege ilipopaa huku akisema anaogopa wanaweza kupata ajari "Hawa watoto Mungu wangu sijui kama watazunguka nchi nzima na kuimaliza salama na hiyo ndege yao, tuwaombee sana" alisikika akisema mama huyo huku akitokwa na machozi.

Mikutano ilifanyika asubuhi au mchana, lakini watu walijaa huku wakichomwa na jua kwa muda mrefu. Wazee wengi walijitokeza kwenye hali kama hiyo na kusema kero zao wakiamini Chadema pekee ndiyo itawasemea kero zao.

Sijui hayo yote ni kwa nini, ni mpango wa Mungu? wananchi wamechoka utawala uliopo? ni mvuto wa viongozi wa Chadema? Hali hii itaendelea mpaka 2015? Kwa nini juhudi za kuichafua Chadema zinashindwa na watu ndo wanaongeza mapenzi kwake?

Asante kwa taarifa nzuri mkuu ila ninachowaomba CDM mnapaswa katika mikutano hii muwasihi watu wajiandikishe wapata kadi ya mpiga kura na siku ya kura wapige wasiuze. Tatizo unaweza kukuta umati unajaa ila wapiga kura ni wachache. Please, hamasisheni sana hili, pengine muanze theme rasmi kwa ajili ya kutoa elimu ya kujiandikisha tu. Hata mkutano ujae kiasi gani kama hakuna wapiga kura ni kazi bure.
 
Utauzimaje moto kwa kuumwagia petroli?
CCM wanahangaika sana!
 
...tulianza na Mungu na atatufikisha tuendako...
 
Ikumbukwe ziara hii imefanyika wiki kadhaa baada ya Mwenyekiti wa Ccm taifa (Kikwete) na timu ya mawaziri kumaliza ziara yao hapa!

Wakati wa ziara ya Kiwete watu walisombwa kwa marori na kulazimisha shule kufunguliwa j,mos na j,pili ili kuongeza idadi kwenye mikutano.

Ziara ya Mbowe watu walikodi magari wenyewe kutoka vijijini mbali kufuata mikutano. Mkutano mmoja tu wa Karagwe taarifa niliyopewa na katibu wa jimbo hilo leo, ni kuwa watu waliosaini karatasi za maoni ya chama kuhusu katiba ni 5,811 kwenye mkutano mmoja.

Wanawake sasa wanakuja mstari wa mbele kwenye mabadiliko, nilishuhudia akina mama na wasichana wakianguka wakijaribu kuwagusa tu viongozi wakati wanaingia na kutoka kwenye mikutano. Kwenye mkutano wa Karagwe wasichana ndio waliongoza kwa kuvaa skafu na kofia za Chadema.

Misenyi watu walifunga bara bara ya Mtukula - Bukoba kwa masaa kadhaa kutokana na wingi wa watu. Lakini badala ya wasafiri kukasilika na wao walijiunga kusikiliza hotuba za viongozi!

Katika mkutano wa Kyerwa mama mmoja wa makamo aliangua kilio ndege ilipopaa huku akisema anaogopa wanaweza kupata ajari "Hawa watoto Mungu wangu sijui kama watazunguka nchi nzima na kuimaliza salama na hiyo ndege yao, tuwaombee sana" alisikika akisema mama huyo huku akitokwa na machozi.

Mikutano ilifanyika asubuhi au mchana, lakini watu walijaa huku wakichomwa na jua kwa muda mrefu. Wazee wengi walijitokeza kwenye hali kama hiyo na kusema kero zao wakiamini Chadema pekee ndiyo itawasemea kero zao.

Sijui hayo yote ni kwa nini, ni mpango wa Mungu? wananchi wamechoka utawala uliopo? ni mvuto wa viongozi wa Chadema? Hali hii itaendelea mpaka 2015? Kwa nini juhudi za kuichafua Chadema zinashindwa na watu ndo wanaongeza mapenzi kwake?

Naipenda Chadema jamani.....
 
USITARAJIE HATA SIKU MOJA UTAONA UTAONA THREADS INASIFIA CCM, COZ UNAJUA JAMII FORUM KAZI YAKE NINI. iko kiitikad zaid kwa hiyo km wewe ccm usishngae, nenda kwenye field piga kazi achana na porojo kwenye computer
Unachekeshaaaaaaaaaaaaaa. Nyie watu wa namna hii ndo nawapenda. Iwe uliumbwa na Mungu ama ni matokeo ya mabadiliko makubwa duniani yalisababisha uka na ubongo mkubwa kuliko kiumbe yeyote dunia ili uweze kufikiri na kuamau kwa usahihi na ndicho wanadamu tumewazidi wale sokwe, sasa tukianza kufikiri kama hatuna hako kasehemu ya ubongo inatisha sana. Mbona mwigulu ameweka akijisifia na CCM kwa uwezo wa kuleta wale washamba wa Msimbazi, ah! samahani watani wetu ambao hawana hata kikombe mwaka huu, ama nape aliyeleweka post kuwakamata akina Saanane. CCM wekeni facts sio speculations, tutajadili na ndicho mimi nakitaka, Kitu facts, genuine, authentic na kiheshimu integrity yake. Kama CCM imeshusha Integrity yake, Outstanding value yake then tuseme tu kidumu? Hata sokwe anabadilika akipata mafunzo
 
Copy to mwigulu nchemba
kinana(ndovu)
nape nauye(ccj)
mr 6 ccj
jk (anaye wa linda wa uza unga namba 1 ritz1)
 
mkuu naona ule ufagio bado haujakukuta vizuri, ila tutakufikia na wewe wala usitie shaka..
Ufagio gani? Wa kubambikia watu kesi za ugaidi? Nafikiri hiyo strategy imewashinda kabisa. Kama mlimbeba na mtu mliyemmwagia tindikali, mkazunguka naye kwenye mikutano Arusha ili kuonyesha ushahidi wa ugaidi wa CDM na bado mkapigwa 4 bila, basi nyie ni sikio la kufa tu. Hakuna dawa itakayowatibu kwa sasa.
 
lililopangwa na mungu hakuna kidampa yeyote anayeweza kupangua , hata kama anatoka lumumba .
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa ccm wilaya ya karagwe (sasa karagwe na kyerwa) mr. Kazunguru alirudisha kadi ya magamba na kukabidhiwa kadi ya cdm. Aliserma, katika ccm ukisema ikweli unaonekana mbaya, au mnafiki nk. Hiyo ilikuwa katika mkutano uliofanyika kayanga mjini.
 
aksante maana habari haina hata chembe ya unafiki mtuwangu!
 
Back
Top Bottom