Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,236
kwa kweli unaonekana ulikuwa hushikiki,as pretty as your name.Lol..............mimi hapo nilipokuwa mdogo, nilikuwa toto tundu. Ila sasa nimekuwa mdada mpoleeeeee!!! Sorry off topic.
kwa kweli unaonekana ulikuwa hushikiki,as pretty as your name.Lol..............mimi hapo nilipokuwa mdogo, nilikuwa toto tundu. Ila sasa nimekuwa mdada mpoleeeeee!!! Sorry off topic.
Huu uvivu wa kutandika ndio huwa unafanya mahausigeli wazoee sana vyumba vya matajiri.Na huu uvivu wakati mwingine hauishii kwenye kutandika vitanda tu,hadi chupi za mabosi mahausigeli wanafua.Sasa wakiwa ndio mama wenye nyumba kweli walaumiwe?
Alishawahi kusafiri wiki nzima. Aliporudi alikuta shuka na neti vipo kama alivyoviacha! Manake nachomoka kwenye neti kama panya. Soksi na viatu alivikuta vimetapakaa kwenye sakafu. Bahati yake ch.upi ziliniishia nikaanza kufua. Hivi sasa akisafiri maximum ni siku tatu!
Huyo uliyenaye vipi? By the way kipi bora kwa mwanaume: Anayekupa majambo kisawasawa au anayefanya usafi kama mwanamke lakini kwenye majamboz hamna kitu?
raha ya ndoa MAJAMBOZI BANA!kutandika kitanda????......HELL TO THE NO!
Chriss jamani mbona wewe akili yako yote ni kwenye majambo?...mbona ndoa c majambo pekee.
Hahaha! Kila utakayemuuliza hapa atasema hubby wake anamfanyia hivyo. Hata wife wangu huwa namsikiaga akijifagilia kwa wenzie jinsi navomsaidiaga! Kalaghabaho! All men same same. Nimesoma boarding school tangu O-level mpaka chuo, sikuona tofauti yetu. So, women, keep on cheating yourselves.
Hivi kutandika kitanda ni lazima?? Sioni sababu ya kutandika kitanda wakati utarudi kukilalia mwenyewe
msichukulie kutandika kitanda tu, na kazi nyingine hamuwezi kusaidia?..
kazi ya kutandika kitanda ni ya mwanamke, hata kama akiwai kuamka mie bado nambonji nitakapoamka tuu aje kutandika kitanda bana, mwanamke mazingira aseee na yanaanzia kitandani!. mnaounga mikono inueni juu, haya gongeni senksi hapo!.
hahaaaaaa,
senk yuu ol.
Chriss jamani mbona wewe akili yako yote ni kwenye majambo?...mbona ndoa c majambo pekee.
mi mwanamke akijisahau tu nikatandika kitanda(hata kama tuko gesti,awe kimada awe nani)......ANAPASWA KUISAHAU SURA YANGU HARAKA SANA
You can say it Again!! itafika wakati watakwambia ukaogeshe watoto!!Kama ingekuwa si majamboz, ningemuoa dada yangu. After all ni mzuri kuliko wife. Asikudanganye mtu mama, Ndoa ni MAJAMBOZ! Kama ni usafi hata dada yangu na mama yangu wanayamudu sana, nisingekuwa na haja ya kuoa! Kwishnei!
hahahahaha!umesomeka mkuu,utakula senksi ngoja nikanunue vocha,yule muhudumu wa zero pub ananibipu(posibo anataka mechi),akisahau kutandika kitanda nahama baaBwashee nimekutwangia senksi, kathibitishe. Na nyingine nakutwangia kwa hapa: THENKS!
hahahahahah ni kweli Pretty nampenda wa kwangu tuko 50/50 sometimes atakwambia wife na wewe uwe unapumzika hujakuwa punda ngoja nikamate usukani atatandika ,ataniandalia chai ,ataosha vyombo ila mie ndo najisikia aibu inabidi nisaidie atanifanyia vyovyote anavyojisikia
mabinamu Msiseme Limbwata hapa
You can say it Again!! itafika wakati watakwambia ukaogeshe watoto!!
Kama ingekuwa si majamboz, ningemuoa dada yangu. After all ni mzuri kuliko wife. Asikudanganye mtu mama, Ndoa ni MAJAMBOZ! Kama ni usafi hata dada yangu na mama yangu wanayamudu sana, nisingekuwa na haja ya kuoa! Kwishnei!