Basi sawa tumewaelewa, tutakuwa tunaomba kidogo kidogo[emoji1787]We hajui Tu simna fanyana mnaposubiria kuowana mwenzio hajakaa sawa kimaisha unamvumilia ajipange unampunguzia mizigo Sasa jamani mnataka tutafute hela tutafute mke tutafute Malaya wakupunguziana tamaa. Bado tuwape hela Malaya tusave kwaajili ya kesho. Tutafika kweli!!? Wanawake sisi wanaume sio wagumu kiasi hicho sisi tunahitaji ndoa zaidi hata ya nyinyi
[emoji1787] ndo majibu yenu hayoKibaya zaidi wewe sio wife material bali malaya material.
Kabla hujaolewa hudumiwa na wazazi wako, haya unayoyataka anastahili mwanamke aliyeolewa na yuko ndani kwangu na sio kwao akipiga mabomu wanaume 10.
UtakeshaKwa hyo dau lako laki 3 ?
Njoo basi pm mkuu juzi nilipoteza namba za tally Hunter nadhani we utanifaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sijamaanisha ivyoOk, ni vile mkipata wapenzi mnajua mmepata ATM machine kwa nyumba
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2] chura inaongea, cyo?.Punguza makasiriko basi [emoji23][emoji23][emoji23] hizi kauli hutoka kwa mwanamke ikiwa hujapenda ila ukipenda wala haitakua kikwazo na huwa mnaelewa situation kama zilivyo!
Tunapitia nyakati mbaya kama dunia ya tatu fursa za kazi ni ngumu. Umaskini umekithiri ajira hakuna unategemea nini? Wanaume wengi watazidi kuwa wabangaizaji wa maisha sababu wanatoka vyuoni wakiwa na ndoto za kutoboa kimaisha ila ajira hamna wanawake wengi ndio mna favor kwenye ajira sikuhizi hasa ukiwa mrembo na tako!
We call those "hoes" vp ni moral right kwako c ndio,, bas badilisha title from hyo uloweka to " i am a hoe"Nimeongea, hii ina maana siko uko unakofikiria. Ndo mn nimesemea mwanaume tafuta ela ndio umfate mdada wa watu na sio kutwa kijiweni then untk wadada wa watu, mwsho wa siku uvitie mimba ukimbie mtaa. Maana uwezo wa kulea huna.
Kuuza mbususu wadada Ili wapate pesa kupitia wanaume, huo sio ujanja na wala si akili,. .. over
Unachoongea na unachofanya ni tofauti [emoji1787]. Najua apa huwez kukubl km unahudumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanafosi kabisa watunzwe yani [emoji41] mi nikutunze wakati hata mahari sijalipa una akili kweli?
Timiza majukumu yako acha kelele[emoji13]Acheni upuuzi nyie, ngenya sio equivalent na pesa! Mkiitwa malaya mnakuja juu oh nyie si ni kama mama zenu blaah blaah!!!
Mama zetu wangekuwa na fikra za kichoko namna hii tusingekuwepo leo! Wengi wameuza mama ntilie na kupika pombe pindi washua walivyo lost kimaisha na bado K walitoa tukazaliwa mabaharia! Sasa nyie leo kitu kidogo tu mnataka kuzifanya Ngenya kama kitega uchumi, ni umalaya huo in another form. K umepewa ni ya uzazi sio biashara.