Siwachongei TFDA lakini ni kweli Mchele wa Plastic upo na unauzwa

Kama umefanikiwa kuuona sehemu toa taarifa wakiipuza ndo rise concern yako mkuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
lets call JF ... Shule bila ada
Hebu tupe huo mchele unapikwa vipi hadi una yeyuka?
Na ukumbuke hata kama plastic ikiyeyuka ikipata baridi ina ganda tena...
Twambie hiyo digestion huko tumboni inakuwaje na inafanyika vipi na hiyo ni plastic?
Hebu tupe shule mwana sayansi.
Font fent


Swissme
 
Nyinyi mnao jifanya mmesoma lakini hamkuelimika mnatuletea matatizo sana ivi kwanini huo Mchele usiwepo kama viwanda vya kuutengeneza vipo na tumeona unavyo tengenezwa itakuwaje usiwepo ndio maana nagonjwa ya matumbo yamekuwa mengi mtu anakaa wiki mbili hajaenda chooni haujiulizi tatizo ni nini tushilikiane kufichua hatari maana wanawake wakiachiwa hela wanataka wabajeti wapate ya mchezo hasa familia zenye kipato kidogo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unataka kutwambia haupo mchele wa aina hiyo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
lets call JF ... Shule bila ada
Hebu tupe huo mchele unapikwa vipi hadi una yeyuka?
Na ukumbuke hata kama plastic ikiyeyuka ikipata baridi ina ganda tena...
Twambie hiyo digestion huko tumboni inakuwaje na inafanyika vipi na hiyo ni plastic?
Hebu tupe shule mwana sayansi.
Nini maana ya plastic kwa kiswahili eti umekwenda shule.lini lumumba wakapata thinker?




Swissme
 
Hakuna digestion ya plastic kwenye tumbo la binadamu ebu tuache uzushi na sayansi ichukue mkondo wake,kama binadamu angeweza kula plastic na akaishi bila tatizo Basi pia angeweza kula cellulose (majani) kama ngombe na akaishi katika hali ya kawaida ili plastic ichemke inahitaji joto linalozidi boiling point ya maji na hata ikichemka ikapoa kwa joto ambalo binadamu anaweza sasa kula au kutia mdomoni plastic inakuwa tayari imeshaganda,kwa hiyo ukiona huo mchele unaodai wa plastic umeweza kuufinyanga mkononi bila kuungua na kisha ukaula na next day ukapata Choo that isn't Plastic ni something else!
Yawezekana huku kuuita wa plastic haimaanishi ile real meaning ya plastic materials. Tuseme yaweza maaninisha wali unaodunda, au pengine mchele ambao haujatokana na kuzalishwa shambani kama asili yake ya kuzalishwa bali ni product ya kiwanda.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mamlaka za kibongo,hovyo kabisa.Hapa cha msingi tusaidiane sisi wenyewe wananchi namna ya kuubaini huu mchele,la sivyo tutakwisha na TFDA hawatusaidii kabisa.Mchele umeagizwa,umepita bandarini,unauzwa masokoni,mamlaka bado hazijui? Hopeless
 
TFDA Acheni utani na maisha yetu vyakula fake vipo vingi sana au mnasubiri mtumbuliwe maana huko hamjaguswa na lungu la mkulu
Tena walivoshtukiwa saivi unachanganywa na mchele original
 
Hivi mbona ninyi Wa Tz wengi hivyo hamtaki kujifikirisha? Ukichukua sahani ya plastiki iliyopasuka ukaikatakata vipande vidogo, ukavichemsha, vinawezeza kweli kulainika vitafunike? Never. Kwa hiyo haiwezekani kuwa na mchele wa plastiki ambao utapikwa, ulainike, uliwe na binadamu. Pili, mtu akila plastiki, ndani ya tumbo lake haitasagika, atakufa. Hamjawahi kuona mbuzi au ng'ombe waliokufa kwa sababu walikula mifuko ya nailoni ikakaa tumboni ikawasababishia kifo?

Kwa hiyo, kuwa na mchele wa plastiki unaolika haiwezekani !
 
Jamani Mbona watanzania tunakuwa kama hatujaenda shule.? Hio plastic ikiingia tumboni kunatokea nini? Hivi kweli digestive enzymes zinaweza kudigest plastic? Na kama haziwezi hio plastic inaenda wapi? Hivi kweli mtu ale robo kilo ya plastic alafu akalale au akatembee? Hivi mfuko wa rambo ukiupika unaweza kuiva?
 
Aliyeruhusu magazeti na habari za USHILAWADU kuandikwa na kusambazwa nchini ndio katufikisha hapa watu wanaamini maujinga ujinga kuliko ukweli. Nasema hakuna......hakuna mchele wa plastic bongo

1. Plastic ukipika ingengangania kwenye sufuria

2. Plastic isingekuwa na harufu ya mchele

3. Plastic isingemengenywa tumboni baada ya kula ungekunya vilevile kwa sababu plastic ni (NON BIODEGRADABLE)

4. Garama za ku prosses plasti mpaka iwe na umbo la mchele na mpaka kusafirisha hadi kukufikia usingemudu kununua ukilinganisha na mchele halisi

5.Nimejaribu mchele niliolima mwenyewe, baada ya kuupika nimeuufinyanga finyanga na kuudundisha na una dunda. Nimethibitisha kuwa mchele wowote mpya kutokana na cohesive forces na wingi wa starch uliopo kwenye mchele. Jaribu mwenyewe nyumbani kwako kwa mchele mpya unaouamini na uliopokwa kwa mafuta mengi utashuhudia mwenyewe.

6. Tuache kutisha watu, tuache kuwanyanyasa mama ntilie kwa kuwaona kuwa wanawalisha vitu visivyo faa ,,,, huo ni uongo uliopindukia.... endeleeni kula chakula pendwa Tanzania.... wali maharage kwa afya zenu
 
Back
Top Bottom