Font fentlets call JF ... Shule bila ada
Hebu tupe huo mchele unapikwa vipi hadi una yeyuka?
Na ukumbuke hata kama plastic ikiyeyuka ikipata baridi ina ganda tena...
Twambie hiyo digestion huko tumboni inakuwaje na inafanyika vipi na hiyo ni plastic?
Hebu tupe shule mwana sayansi.
Hawa ndo waagizaji mkuu!Kwa hiyo unataka kutwambia haupo mchele wa aina hiyo
Post sent using JamiiForums mobile app
Nini maana ya plastic kwa kiswahili eti umekwenda shule.lini lumumba wakapata thinker?lets call JF ... Shule bila ada
Hebu tupe huo mchele unapikwa vipi hadi una yeyuka?
Na ukumbuke hata kama plastic ikiyeyuka ikipata baridi ina ganda tena...
Twambie hiyo digestion huko tumboni inakuwaje na inafanyika vipi na hiyo ni plastic?
Hebu tupe shule mwana sayansi.
brain is the beautiful part of the body.
Kwa hiyo mkuu na wewe hujaenda shule?Hii ni mada ya watu wasioenda shule, plastic inakuwaje mchele !? ...yaani plastic inachukuwaje features za mchele !? ..
kwani haya makosa yamefanyika magogoni mkuu?Nenda ikulu wanatafuta walimu wa kingereza
Swissme
Yawezekana huku kuuita wa plastic haimaanishi ile real meaning ya plastic materials. Tuseme yaweza maaninisha wali unaodunda, au pengine mchele ambao haujatokana na kuzalishwa shambani kama asili yake ya kuzalishwa bali ni product ya kiwanda.Hakuna digestion ya plastic kwenye tumbo la binadamu ebu tuache uzushi na sayansi ichukue mkondo wake,kama binadamu angeweza kula plastic na akaishi bila tatizo Basi pia angeweza kula cellulose (majani) kama ngombe na akaishi katika hali ya kawaida ili plastic ichemke inahitaji joto linalozidi boiling point ya maji na hata ikichemka ikapoa kwa joto ambalo binadamu anaweza sasa kula au kutia mdomoni plastic inakuwa tayari imeshaganda,kwa hiyo ukiona huo mchele unaodai wa plastic umeweza kuufinyanga mkononi bila kuungua na kisha ukaula na next day ukapata Choo that isn't Plastic ni something else!