Siwaamin wanawake tena!!

Brenda 18 ukiwa na haraka hutafaidi abadan
 
Sawa maana ukitaka kupata chema unatakiwa umakin sana
 
duniani humu hakuna kinachoaminika!!

trust nothing.. even yourself!!
 
Excel;duniani humu hakuna kinachoaminika!!

trust nothing.. even yourself!!

Mwenye jicho na asome....mwenye akili na aelewe...
 
Excel;duniani humu hakuna kinachoaminika!!

trust nothing.. even yourself!!

Mwenye jicho na asome....mwenye akili na aelewe...

after there... learn how to click like and adding reputation power.. that is the form of at-least showing love to your friends and non-friends!
 
unamwamini MAMA ako tu ama, naye humwamini? endapo unamwamini ujue nae anawakilisha usiowaamini
 

Wanawake wangapi?

--> Ni bahati mbaya sana kwamba umekutana na "wanawake" waliokutenda vibaya. Wengine wanafurahia maisha na wake zao!
 
QUOTE=wengi katika mahusiano wanaruka kanuni saba za uchumba ndio ,.,. maana kizazi hiki chetu ndoa nyingi zinaachika kwa sababu h.,[/QUOTE]
NI KANUNI ZIPI HIZO?
 
inategea unawapata katika mazingira gani. jiassess
 

Wanaofuata hizi procedures kwa sasa kwa wilaya hawajai hata kwenye Bajaj!
 

Mademu wamekutenda bila shaka, introduction ya kwanza ikikosewa utajuta kuzaliwa.
 
cjaelewa mheshiwa hiyo namba 3! kwa wale wamsikitini inakuwaje ?
 
Wewe sio wa kwanza kutendwa na kuacha kuwaamini wanawake.

Wa kwanza alikuwa Adamu, alimpenda sana Hawa lakini aliishia kutendwa tena vibaya sana.

Mwanamke kiasili ni mtu wa maslahi tu, yuko kwako kwa maslahi, na siku akiyakosa kwako yuko tayari kuyatafuta popote hata kwa Nyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…