Ni kweli unayoyaongea ujue tumeathirika na msemo wa samaki mmoja akioza ni wote kuna baadhi ya wanawake pia wakitendwa huwa hawatamani kumuona mwanaume wa aina yoyote na ukifanikiwa kumpata mahusiano huwa magumu sana kipindi cha mwanzoni vivyo hivyo kwa wanaume.
umejichunguza na wewe un tatizo gan??ukiwalaum wasichan/wanawake bila kujichunguza ww ni kaz bure mkuu..Je unasamehe ukikosewa??je unamrekebishaje akikosea??mapenzi bila kujifunza jinsi ya kuishi na mwenza wako kwa jinsi alivyo sio mapenz na hutaweza kuish na mwanamke/msichana yoyote
1. Friendship
Hapa ni urafiki tu wa kawaida baina ya jinsia mbili
2.casual dating
Mwanaume anaanza kuwa karibu na mwanamke zaidi.
3.Steady dating
Hii ni hatua mwanaume anakuwa karibu na yule binti kama kanisan wanakaa pamoja na wanaahirikiana mambo mengi lakin anakuwa badohajamtamkia chochote bado anamchunguza.
4.Special dating
Mwanaume anakwenda zaidi kuijua familia yake kama marafiki ili amjue mwanamke vivyo hivyo hata mwanamke anakwenda hata kwao mwanamme na hizi zote zinachukua miezi nane mpaka mwaka mmoja.
5.Engage to be engaged
Mwanamme anamtamkia kwamba anampenda na hapo inaweza kuwa imepita mwaka mmoja na nusu.
6.formal engagement.
Wawili hawa wanaanza kupanga maisha yao kwamba wanataka kuwa na watoto wangapi..nyumba wajenge mkoa gani.. wanataka wawe na miradi gani na zikiwapo ziara wanakwenda pamoja.
Kipindi hiki jamii inafaham kwamba wale ni wachumba na hata wazee wao wanafaham na hata kanisa linafaham na mwanaume anajua udhaifu wa mwanaume na hata mwanamme pia .
Ni ktk kipindi hiki wanatoa mahali
7.married
Hii ni hitimisho la uchumba na hapo ndoa haiwezi kuvunjika
Sasa wengi wetu mnakutana na mwanamke/mwanaume kwenye fb,jf,whatsapp,viber,mnatongozana na mkikutana siku hiyo mnazin baada ua hapo mnatangaza ndoa!!!!!!! Ni hatari sana ndugu zangu.
Nadhan atug nimeweka hizo kanuni saba za uchumba.
kwa hiki kizazi cha dot.com ni wachache sana wanaoweza kuzingatia hayo.
Sio kila msichana ana double face. Wapo ambao wapo comitted wawapo ktk relation ladba bado hujakutana nao. Smtyms God wants to meet wrong ppl inoder to learn smthing.
Kanuni saba za uchumba ni zipi?Ni kweli lakin wengi katika mahusiano wanaruka kanuni saba za uchumba ndio ndio maana kizazi hiki chetu ndoa nyingi zinaachika kwa sababu hiyo mpendwa
Ni dhahir wasichana/wanawake weng kwa sasa hawana mapenz ya kwel rather they care watapata nn kwenye relationship,,,
Kwa mda nlioish dunian na kukutana na hawa viumbe kila wakat nimekuja ku-realize wako double faced!,,,
my take;
siwaamin tena wanawake,,an tht wil set me free frm loving sniches!
Hilo ndilo neno and the topic is closed. Kuna watu wengine passwords zote wanaacha kwa mdada unategemea nn mtoto wa kiume?
Good Analysis mkuu...Same to YOU 2014Katika mahusiano wanasema na naamini sio vizuri kumwamini mtu kwa asilimia zote,hiyo haimaanishi kuwa hakuna Wanawake or Wanaume waaminifu la hasha bali ni tahadhal likitokea tatizo uwe ulijikinga.Ila wapo wanawake waaminifu sana tu kama walivyo wanaume ila nao wanamapungufu yao!Wanasema binadamu hatujakamilika.Ila chakufuraisha Binadamu tunarekebishika,angalia wapi unapoangukia kama ni sehemu hiyo hiyo angalia futa utelezi usianguke tena!Heri ya mwaka mpya mkuu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums