Ni kweli kwenye mambo yasiyo ya muungano wabunge wa Zanzibar hawatakiwi kuwemo bungeni.HayawahusuHuwa naangalia Sana bunge letu likiwa live. Huwa sioni mchango wa wale ndugu 54 kutoka Zanzibar ilhali kila siku wanachukua posho.
Nashauri Kama inajadiliwa wizara isiyo yamuungano, hawa 54 wasiingie bungeni na wasipewe posho kwa siku husika.
Mbunge kutoka Zanzibar atachangia nini kwa mfano kwenye bajeti ya wizara maji?
Nchi hii inahitaji kuwa overhauled, hao 54 ni watalii wa kudumu wa ndaniHuwa naangalia Sana bunge letu likiwa live. Huwa sioni mchango wa wale ndugu 54 kutoka Zanzibar ilhali kila siku wanachukua posho.
Mbunge mmoja wa bara anawakilisha watu wengi zaidi ya wabunge wote 54 wa Zanzibar sasa wanasema nini? Wao ni kula posho tu.Huwa naangalia Sana bunge letu likiwa live. Huwa sioni mchango wa wale ndugu 54 kutoka Zanzibar ilhali kila siku wanachukua posho.
Nashauri Kama inajadiliwa wizara isiyo yamuungano, hawa 54 wasiingie bungeni na wasipewe posho kwa siku husika.
Mbunge kutoka Zanzibar atachangia nini kwa mfano kwenye bajeti ya wizara maji?
... mtalii analeta hela sio kuja kubeba resources! Hao sijui niwaiteje.Nchi hii inahitaji kuwa overhauled, hao 54 ni watalii wa kudumu wa ndani
Huwa naangalia Sana bunge letu likiwa live. Huwa sioni mchango wa wale ndugu 54 kutoka Zanzibar ilhali kila siku wanachukua posho.
Nashauri Kama inajadiliwa wizara isiyo yamuungano, hawa 54 wasiingie bungeni na wasipewe posho kwa siku husika.
Mbunge kutoka Zanzibar atachangia nini kwa mfano kwenye bajeti ya wizara maji?
na hao wanaolalamika mna udini na ukanda ni wabunge wa bunge gani? Hoja ni nzuri watoke inapojadiliwa wizara isiyo ya muungano, haina maana kupokea poshoHuwa naangalia Sana bunge letu likiwa live. Huwa sioni mchango wa wale ndugu 54 kutoka Zanzibar ilhali kila siku wanachukua posho.
Nashauri Kama inajadiliwa wizara isiyo yamuungano, hawa 54 wasiingie bungeni na wasipewe posho kwa siku husika.
Mbunge kutoka Zanzibar atachangia nini kwa mfano kwenye bajeti ya wizara maji?
Una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii.Huwa naangalia Sana bunge letu likiwa live. Huwa sioni mchango wa wale ndugu 54 kutoka Zanzibar ilhali kila siku wanachukua posho.