Siungi mkono ukatili lakini...

Instagram kuna akina amber rutty kama elfu kumi hivi akina dada wakishindana kubinua makalio wakishindana kupost video wakikatika nk tena zingine za aibu kabisa


Nitafungua uzi kuelezea hiki ili wazazi wajuwe role zao
 
Mshana pamoja na yote aliyoyafanya amber rutty hakuna justifiacation ya kumfanyia unyama as long as ni binaadamu na anastahili heshima hata kama yeye amber hakuonesha heshima hiyo mbele ya jamaii,

Tunachopaswa ni kumuombea tu atoke kwenye huo ushetani unaomkabili, kama ni uovu wengi wenu humu mumeufanya sema haujaonekana, ambae hajafanya uovu awe wa kwanza kuokota jiwe na kumpiga amber rutty.
 
Naomba usome kwa makini na kwa kutulia nilichoandika mwanzo mpaka mwisho... Sijamkandamiza yeye wala kumtetea mtu... Nimesema yeye ni matokeo ya tunda la uovu ndani ya jamii iliyoharibika ambayo sasa inajaribu kukimbia uvundo
 
Kuna wanaopata wanachostahili na huyu ni mmojawapo,pengine anastahili zaidi ya hilo...kuzibuliwa hajatosheka,mpaka akaweka mazingira ya wengine tujue kuwa amezibuliwa!!..
Anayekosea anapaswa kufunzwa,na inabidi alipe gharama ya kujifunza huko.Ama wamemfanyia uhuni zaidi au anaigiza ila anastahili zaidi ya hilo
 
Uzi huu una apply hata kwa Wema Sepetu ungewajadili wote kwa pamoja. Nafikiri wale wasichana/wamama watakuwa na tatizo la kubwa vichwani mwao
 
Tangu lini Mchawi akawa na huruma kwa wanadamu ?
 
KAH, YAN HUU UPANDE WA SHILINGI UMEONGEA YAKWELI YOTE!!!
 
Huenda ikawa kweli huko mahabusu amekutana na shughuli pevu, au kama anavyodai maumivu yametokana na kipimo... lakini mmmh kipimo gani huwa kinatumika mpaka kimemsababishia maumivu mpaka ashindwe kukaa???
Kwa akili za yule bint nilivyoona itakuwa watu walimfanyia sherehe huko mahabusu kwakumdanganya labda atatoka uraiani.Au yawezekana vile wamemuona kama punguwani walikuwa wakimla ****** wakimdanganya wanamfanyia vipimo kumbe wanajitosheleza.
 
Mimi ninachoamini leo na siku zote ni kwamba Taifa hili linaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria tulizozitunga sisi wenyewe bila kushurutishwa na mtu yeyote na tusipotaka Taifa hili liongozwe kwa mujibu sheria hizo tunakuwa tunajisaliti na kujinajisi sisi wenyewe na mwisho wa siku kadhia ya kuhukumiwa bila sheria itakuja kumkumba kila mtu na itakuwa ni too late kugeuka nyuma na kutaka kujua tuko wapi na ni nini kimetokea!

Mimi nina swali moja tu kwa mleta mada:Je sheria inayozuia ushoga Tanzania inaruhusu mashoga kunyanyaswa,kuteswa,kutengwa,kunyanyapaliwa na kutishiwa haki ya kuishi kama mleta mada anavyoonyesha viashiria vya kunadi uvunjivu huu wa haki za msingi za watuhumiwa??

Ni vyema na ni muhimu kabisa kuheshimu haki ya mtuhumiwa bila kubagua mtuhumiwa huyu ametenda kosa gani na yule ametenda kosa gani.Ni vyema na ni muhimu kabisa kwa mujibu wa katiba yetu watuhumiwa wote bila kuangalia huyu ametenda kosa gani na yule ametenda kosa gani wakawa equal treated under law kitu ambacho naona viashiria kwa mleta mada kupinga hili.Kufanya kama mleta mada anavyojinadi ni kutengeneza Taifa la chuki na visasi ambapo hatima yake kila mtu anaijua!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] "unafique"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…