"Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko, Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu.
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono, lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara"
Godbless Lema (Mp)
Kemea kwanza tendo linalofanywa na vijana na madiwani wenu. Kitendo cha kumchangia fedha mtuhumiwa kinatoa taswira mbaya kwa chama chenu japo wengine wanaona ni kitendo cha kishujaa lakini huwezi kuenzi ushujaa katika mambo ya kijinga.

ukifanya kizuri utasifiwa na ukiboronga pia utaadhibiwa, na hiyo si ndo kauli yenu? kwahyo wasifiwe tu?Lini wapinzani wa Bongo wamewahi kulipwa kwa siasa za kistaarabu?Huyu Lema kesho na keshokutwa anaweza kupigwa virungu kama sio mabomu ya machozi na nyie wafuasi wa CCM mnaomsifia leo hii ndio mtakuwa wa kwanza kumkejeli na kumdhihaki na hata huyo anaemtetea leo hii nae hatamsaidia kwa lolote.
Hii ni taswira ya kushuka kwa maadili ya vijana wetu...wakichekewa wataota mapembe...wapelekwe mahakamani tu...
Watumie mitandao responsibly...
Si utamaduni wetu kutukana wakubwa...awe rais au jirani...washikishwe adabu...hakuna namna...
Wanao unga mkono wamejionesha kwa kutoa michango na waratibu wao!Kuna clip moja inarushwa startv, Lema anasema, "Iwapo leo nitahamia ccm".
Mkuu lema sioni sababu ya we kuanzisha thredi, vinginevyo tutajie wanaounga mkono kutukanwa rais.
Ila michango ni kitu cha kawaida kama ilivyo kwa mawakili wa serikali kumtetea aliyemtukana rais au muuaji wa halaiki, sio kwamba wale mawakili wanaunga mkono, bali ni mambo ya court proceddings tu.
kwa kiasi fulani u see, hujamfikia rais so huwez jifananisha nae, na kwa akili zako unahisi hiyo kodi yako anakula rais tu? hao wabunge wako wanalipwa na nn? lowasa wenu mpaka leo anakula kodi yako,
upo sahihi chief. ni vizuri hoja ikashindana na hoja sio na matusi.
"Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko, Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu.
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono, lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara"
Godbless Lema (Mp)
Adhabu za makosa ya kimitandao zilitungwa bungeni kupitia sheria za makosa ya kimitandao hivyo judge ana tekeleza sheria..siku nyingine judge anaweza kumpa kifungo cha mwaka hata mmoja!Hoja ya Mh. Lema imesimamia kwenye sentensi hiyo ya mwisho.. Lema haungi mkono Rais kutukanwa kitu ambacho waungwana wengi tunaona ni sahihi lakini pia adhabu aliyopewa huyo dogo ni kubwa sana.. Angeadhibiwa tu kibusara kwa kupangiwa kusafisha labda kituo cha polisi kwa wiki moja au wiki kadhaa ingekuwa vyema kuliko kumpiga faini ya million 8... Anyway, serikali inatafuta pesa kwa njia yeyote awamu hii..
Kwani wewe ni Raisi wa JMTZ?
Unawezaje kujilinganisha na rais wakati hata ujumbe wa mtaa huna,lazima utambue heshima anayopewa rais ni taasisi si kama mtu binafsi
Ukitukanwa mahakama ipo...
Ni jukumu lako kwenda mahakamani...
Akitukanwa Rais wapo wa kumwendea mahakamani sababu ni Rais...
Vyeo vinaenda na privileges ...huwezi kujilinganisha na mwenye cheo...ni kutafuta BP tu...
Watu tunachokiongelea hapa ni double standards.. Matusi si mazuri kwa pande zote sio upande mmoja tu.. Kwahiyo na sisi tulioitwa malofa na wapumbavu tukiamua kujikusanya kupeleka shauri mahakamani Mr. Clean ataadhibiwa??Adhabu za makosa ya kimitandao zilitungwa bungeni kupitia sheria za makosa ya kimitandao hivyo judge ana tekeleza sheria..siku nyingine judge anaweza kumpa kifungo cha mwaka hata mmoja!
Kemea kwanza tendo linalofanywa na vijana na madiwani wenu. Kitendo cha kumchangia fedha mtuhumiwa kinatoa taswira mbaya kwa chama chenu japo wengine wanaona ni kitendo cha kishujaa lakini huwezi kuenzi ushujaa katika mambo ya kijinga.
duuh. enzi za wakati mgumu sidhani hata kama anapenda kuisikiliza hiiHuo ushauri ingependeza pia ungempa huyu mtu....
Nimeweka hoja ya ulinzi wa Rais kukuonyesha mantiki ya tofauti kati ya Rais wa nchi na wananchi mwingine.Ulinzi wa rais na hoja yangu vina uhusiano gani?
Hapana. Wewe unaongelea dhana ya kinadharia inayosema binadamu wote ni sawa lakini kiuhalisia binadamu wote siyo sawa.Nope. Ni kinyume chake. Mi naongelea uhalisia wewe unaongelea ya kufikirika kama ilivyo kawaida yako.
Rais kutokea miongoni mwa wananchi hakumfanyi awe ni sawa na wananchi wengine katika matendo na majukumu yake kama Rais.Hapana. Rais wa nchi anatokana miongoni mwa hao hao wananchi. Hatokei sayari nyingine kama Mushtara huko hadi awe tofauti na siye binadamu wengine.
Lazima uelewe kuwa kujiheshimu ni kuheshimiwa.Heshima ya rais lazima ilindwe....na heshima ya wengine haina ulazima wa kulindwa eh?